
Kaka/Dada… inauma….
Kuna wakati mtu anakaa kimya, anayafikiria maisha yake, halafu anapata ile hisia mbaya…
Dah, muda umeenda… na mimi bado nipo pale pale.
Ni hisia mbaya.
Ni hisia inayokula ndani.
Ni hisia inayoweza kukufanya uamini kwamba safari yako imeisha.
Lakini leo nataka nikupe ukweli ambao wengi hawakuambiagi…
Tatizo sio kwamba umechelewa.
Tatizo ni kwamba umeamini kuchelewa ni kosa lisilorekebishika.
Na hiyo imani ndiyo imekukatisha tamaa.
Lakini ukweli ni huu hapa…
Maisha hayafungwi na muda uliopotea.
Maisha huanza unapoamua kuanza upya.
Kila mtu aliyeko mbele yako sasa… aliwahi kuwa nyuma ya mtu mwingine.
Hakuna aliyeanza vizuri.
Lakini kuna wengi walianza mahali walipo na wakafika mbali.
Sasa, shida kubwa ni hii hapa…
Kila siku unavyokaa na kujisema, Nimechelewa,unajiibia dakika.
Unajiibia matumaini.
Unajiibia nguvu ya kuanza.
Miaka inapita.
Makosa ya zamani yanajirudia.
Akili inakupa visingizio..
Wenzako wako mbali.
Umezidi umri.
Huna cha kuanza nacho.
Sasa utafanya nini?
Hii ni sauti ndogo ya kukukatisha tamaa…
huumiza kuliko ukosefu wa pesa.
Kwa sababu ukishakata tamaa, hakuna hatua inayotokea.
Na bila hatua… hakuna mabadiliko.
Na sasa ngoja nikuweke sawa na kuuvunja huo uongo.
Kuanza kuchelewa hakujawahi kuwa tatizo katika mafanikio ya kifedha.
Tatizo halipo kwenye umri wako.
Tatizo halipo kwenye miaka uliyopoteza.
Tatizo halipo kwenye makosa uliyowahi kufanya.
Tatizo ni fikra.
Kuna watu walijua matumizi sahihi ya pesa wakiwa na miaka 40.
Wengine walijua uwekezaji wakiwa Miaka 45.
Wengine walijenga nidhamu wakiwa Miaka 50.
Na guess what?
Leo wana maisha bora kuliko vijana walioanza mapema.
Kwa hiyo…
uongo wa umechelewa uujengee kaburi leo.
Sasa suluhisho ni moja tu.
Na halihitaji mtaji mkubwa, elimu kubwa, au muda wa miujiza.
Inahitaji hatua ndogo.
Hatua ndogo inayorudiwa.
Hatua ndogo inayojenga tabia.
Tabia ndio hutengeneza nidhamu.
Nidhamu ndio hutengeneza utajiri.
Na utajiri hauanzi na milioni…
Unaanza na buku.
Buku moja.
Leo.
Sio kesho.
Hapo ndipo Elimu Ya Msingi Ya Uwekezaji inafanya kazi kubwa.
Haikuambii, Anza kwa ukubwa.
Inakuambia, “Fanya sahihi. Fanya kidogo. Fanya leo.”
Inakufundisha kutumia pesa kwa akili, kuweka akiba kidogo kila siku, kujenga muundo wa maisha ya kifedha… bila presha, bila majigambo, bila ugumu.
Nikupe story ambayo nadhani itaugusa moyo wako.
Kuna kijana mmoja wa Magomeni.
Miaka ilimkalia vibaya.
Alitumia vibaya pesa alizowahi kupata.
Akaingia kwenye matumizi mabovu, madeni, na lawama kibao.
Siku moja aliniambia…
Bro, nadhani game imenipita. Nimeshachemsha sana. Nimechelewa kuliko watu wote.
Nikamuangalia, nikamuambia kitu rahisi:
HujaCHELEWA. UmeCHELEWESHWA na mawazo yako.
Tulianza safari ya hatua ndogo.
Buku moja.
Kila siku.
Pesa ndogo ndogo.
Maamuzi madogo madogo.
Baada ya miezi 6…
Hakuwa bilionea.
Lakini alikuwa mtu mpya.
Alikuwa na akiba.
Alikuwa na nidhamu.
Alikuwa na mwelekeo.
Alikuwa na matumaini aliyoamini tena.
Na leo?
Anaweka pesa kila mwezi.
Anawekeza kiasi kidogo kinachokua.
Amepata confidence mpya kwenye maisha.
Na mara ya mwisho nilipoongea naye, alinipa kauli nisiyoisahau:
Siri haikuwa pesa… ilikuwa kuamua kuanza, ingawa nilihisi nimechelewa.
Na wewe pia unaweza kuanza leo.
Hata kama miaka imepita.
Hata kama ulipoteza pesa.
Hata kama makosa yamekuumiza.
Hata kama unaanza na shilingi 1000.
Maisha yanabadilika pale unaposema:
Sasa nataka kujijenga.
Na ukitaka mwongozo rahisi, laini, unaoingia kichwani haraka…
Elimu Ya Msingi Ya Uwekezaji ndiyo daraja lako.
Itakupa misingi, nidhamu, na mpango wa kuanza safari mpya bila presha.
👇 Jifunze zaidi hapa
https://wa.link/kj1hrl
Karibu sana.
0756 694 090
PS:
Hakuna Aliyewahi Kuchelewa Kwenye Safari Ya Kubadilisha Maisha.
Lakini Kuna Wengi Wamekwama Kwa Sababu Waliamini Uongo Wa NIMECHELEWA.
Usiwe Mmoja Wao.