
Rafiki Yangu,
Biashara yako ina wateja waliotaka kununua.
Lakini wengi wao wanapotea kimya kimya.
Hakuna aliyewapigia.
Hakuna aliyewafuatilia.
Hakuna aliyekumbuka walipoishia.
Mfumo wa Mauzo CRM & Accounting unaweka taarifa zote sehemu moja, unakukumbusha nani afuatiliwe, unaonyesha hatua ya kila deal, na unaweka hesabu zako wazi.
Acha kupoteza wateja gizani. Tumia CRM, geuza fursa kuwa mauzo halisi.
Na kwa mfano ukilipia kifurushi cha mwezi leo unapata ofa ya meseji 500 za kumbuka sms- Bure.
Hii ni kwa watu 11 tu wa kwanza.
Kama hutaki kuikosa basi bonyeza hapa 👇 *https://wa.link/289wdg*
Karibu.