Rafiki Yangu,

Unaendesha biashara lakini huoni kinachoendelea.

Hujui nani anatakiwa kufuatiliwa leo.
Hujui deal lipi liko karibu kufungwa.
Hujui pesa ipi haijalipwa.

Unaenda… lakini gizani.

Mfumo wa Mauzo CRM & Accounting unakuonyesha kila kitu: wateja, mauzo, malipo na fursa zilizo mbele yako.

Acha kuendesha biashara kwa kubahatisha.

Weka dashboard ya biashara yako, ongeza mauzo kwa uhakika.

Na kwa mfano ukilipia kifurushi cha mwezi leo unapata ofa ya meseji 500 za kumbuka sms- Bure.

Hii ni kwa watu 11 tu wa kwanza. Kama hutaki kuikosa basi bonyeza hapa 👇

https://wa.link/289wdg

Karibu.
0756694090.