
Rafiki yangu,
Hebu anza kujiuliza hiki kitu kimoja tu.
Unaamka asubuhi ukiwa tayari umechoka?
Kichwa kimejaa mawazo kabla hata hujaianza siku?
Unakimbia tangu asubuhi mpaka jioni, lakini mwisho wa siku unajiuliza,
Leo nimefanya nini hasa?
Hapo ndipo wengi wanapokwama.
Sio kwa sababu hawajitumi.
Sio kwa sababu hawana ndoto.
Na sio kwa sababu hawana akili.
Tatizo ni moja.
Muda hauko chini ya udhibiti wao.
Watu wengi wana ratiba.
Lakini hawana mpango.
Wana shughuli nyingi.
Lakini hawana mwelekeo.
Matokeo yake?
Msongo wa mawazo unaongezeka.
Hasira ndogo ndogo zinakuwa kawaida.
Usingizi hauleti pumziko.
Hata furaha inaonekana kama anasa.
Unajikuta unaishi kwa kuzima moto.
Leo hili.
Kesho lile.
Kila kitu ni cha dharura.
Hakuna kinachosogea mbele kwa makusudi.
Na hapa kuna ukweli mchungu kidogo…
Tatizo si kazi nyingi.
Tatizo ni muda ambao haujapangiliwa.
Watu wengi wanajaribu kurekebisha maisha yao kwa kupangilia pesa.
Bajeti.
Akiba.
Mipango ya matumizi.
Lakini hawagusi chanzo.
Muda.
Ukipangilia pesa bila kupangilia muda, bado unaumia.
Kwa sababu muda ndio unaamua pesa itaingia lini.
Muda ndio unaamua kazi ifanyike lini.
Muda ndio unaamua akili itapumzika lini.
Ukipangilia muda,
ghafla mambo yanaanza kutulia.
Unajua ufanye nini asubuhi.
Unajua kipi ni muhimu na kipi ni kelele.
Unajua lini useme hapana.
Na kwa mara ya kwanza, siku zinaanza kukutii.
Hapo ndipo msongo wa mawazo unaanza kupungua.
Sio kwa miujiza.
Bali kwa mfumo.
Na hapa ndipo wengi hukosea.
Wanatafuta maneno ya faraja.
Motivation ya dakika 3.
Video za amini utafanikiwa.
Lakini faraja haisuluhishi vurugu.
Motivation haisimami bila mfumo.
Ndiyo maana Kitabu cha MUDA UPO si cha kukufariji.
Hakiji kukudanganya kuwa kila kitu kitakuwa sawa.
Hapana.
MUDA UPO kinakupa mfumo.
Mfumo wa kuona muda wako ulipo.
Mfumo wa kuugawa muda wako bila kujiua.
Mfumo wa kupanga siku zako zizae matokeo, sio uchovu tu.
Kinakufundisha jinsi ya:
– Kupunguza msongo bila kupunguza malengo
– Kuacha kuhangaika na kuanza kuziongoza siku zako
– Kutenganisha mambo muhimu na mambo yanayokula akili
– Kuishi kwa mpango badala ya kuishi kwa presha.
Utagundua kitu cha ajabu sana.
Siku zako hazijaongezeka.
Lakini muda unaonekana kutosha.
Shinikizo linapungua.
Akili inapata pumziko.
Na hapo maisha yanaanza kukutii.
Sio kwa sababu kila kitu ni rahisi.
Bali kwa sababu wewe ndiye unaongoza muda, sio muda kukuongoza.
Swali ni hili rafiki yangu…
Utaendelea kuishi kwa presha isiyo ya lazima?
Au utachagua kujipangilia mara moja, halafu uishi kwa utulivu?
Kwa sababu ukweli ni huu:
Msongo mwingi unaobeba leo,
si lazima uwepo.
Unasababishwa na mfumo mbovu wa matumizi ya muda.
Na mfumo unaweza kurekebishwa.
Soma Kitabu cha MUDA UPO.
Sio kesho.
Sio nikipata muda.
Ni sasa.
Hiki hapa 👇
👉 https://wa.link/qb711b
Karibu.
📞 0756694090.
Usiendelee kuishi kwa presha, wakati suluhisho liko wazi mbele yako..