
Rafiki Yangu,
Usiruhusu mwaka huu uishe kama uliopita…
Ukiwa na malengo mengi, mipango mizuri, ahadi nzuri,
…lakini matokeo machache.
Kila mwaka unaanza kwa hamasa.
Unaandika malengo.
Unaapa kubadilika.
Unaahidi kufanya vizuri zaidi.
Lakini kadri siku zinavyopita, unajikuta umerudi kwenye mzunguko uleule kukimbizana na majukumu,
…kuzima moto wa dharura, na kuahirisha mambo muhimu.
Mwisho wa mwaka unajiambia, “Mwaka ujao nitafanya tofauti.*
Lakini ukweli ni huu…
Tofauti haiji kwa kutamani.
Tofauti haiji kwa bahati.
Tofauti inakuja kwa mfumo.
Ndiyo. Mfumo.
Kwa sababu tatizo sio kwamba huna ndoto.
Sio kwamba huna uwezo.
Sio kwamba huna muda.
Tatizo ni kukosa mfumo wa kuutawala muda wako.
Watu wanaofanikiwa hawana saa 30 kwa siku.
Wana saa 24 kama wewe.
Tofauti yao ni moja tu wanajua nini kifanyike, kifanyike lini, na kwa mpangilio gani.
Wamejifunza kuutawala muda wao badala ya muda kuwatawala wao.
Na hapo ndipo mabadiliko huanza.
Hebu jiulize swali moja la kweli…
Kama utaendelea na mtindo huu wa sasa kwa miezi 12 ijayo, maisha yako yatakuwa tofauti kiasi gani?
Kama jibu halikuridhishi, basi huu ndio wakati wa kubadilisha mwelekeo.
Na hapa ndipo kitabu cha MUDA UPO kinapokuja.
Hiki si kitabu cha motisha tu.
Ni mwongozo wa vitendo.
Kitakuonyesha…
- Jinsi ya kupanga siku zako kwa matokeo, sio kwa mazoea
- Jinsi ya kuacha kupoteza muda kwenye mambo yasiyo na tija
- Jinsi ya kujenga tabia ndogo zinazozalisha mafanikio makubwa
- Jinsi ya kusonga mbele hatua kwa hatua bila presha
- Jinsi ya kuhakikisha kila mwezi unaona maendeleo halisi
Kitabu hiki kitakusaidia kubadilisha mtazamo wako kuhusu muda.
Badala ya kusema sina muda… utaanza kusema nina mfumo.
Badala ya kukimbizana na majukumu… utaanza kuyaongoza.
Badala ya kusubiri motisha… utaanza kutegemea nidhamu na mpangilio.
Fikiria mwaka mzima ukiwa na uhakika wa nini kina umuhimu kwako.
Fikiria ukimaliza kila mwezi ukiwa na ushahidi wa maendeleo.
Fikiria ukiangalia nyuma baada ya miezi 12 na kusema, Huu ulikuwa mwaka wangu wa mabadiliko.
Hiyo haihitaji miujiza.
Inahitaji uamuzi.
Na uamuzi huo unaweza kuanza leo.
Lakini kuna jambo moja muhimu…
Nakala za kitabu hiki zimebaki chache sana.
Sio kwa sababu ya mbinu ya mauzo, bali kwa sababu ubora wake unafanya watu wengi wachukue hatua haraka.
Wale wanaoelewa thamani ya muda hawachelewi.
Wanaamua.
Wanaweka oda.
Wanaanza safari yao ya mabadiliko.
Sasa ni zamu yako.
Usingoje hadi miezi ipite.
Usingoje hadi hali ikubane.
Usingoje hadi ujilaumu tena mwisho wa mwaka.
Chukua hatua sasa.
Weka oda yako kabla nakala hazijaisha.
Ni hapa 👇
Karibu.
PS: Miaka ijayo, hautakumbuka post nyingi ulizosoma.
Lakini utakumbuka uamuzi mmoja uliobadilisha mwelekeo wa maisha yako.
Amua leo. Fanya mwaka huu uwe mwanzo wa mafanikio makubwa kabisa.