Nothing you wear is more important than your smile. – Connie Stevens

Hakuna kitu muhimu unachoweza kuvaa kama tabasamu.

Muda wote vaa tabasamu, hapana sio muda wote, ila tabasamu ni muhimu. Tabasamu linakarisha watu, tabasamu linaleta ushirikiano na tabasamu linaonesha kujali. Zawadi bora unayoweza kumpa mtu ni tabasamu. Na silaha bora unayoweza kuitumia pale mtu anapokutukana ni tabasamu. TABASAM Nakutakia siku njema. SOMA; Orodha Mpya Ya Mabilionea; Mambo Kumi Ya Kuzingati Ili Na Wewe Uweze Kuingia Kwenye Orodha Hii Siku Za Baadae.