Ni jambo la kushangaza na huwezi kuamini, lakini ni ukweli usiopingika ya kwamba wewe mwenyewe umekuwa unajizuia kupata kile ambacho unataka.

Kwa lugha nyingine tunaweza kusema umekuwa unajihujumu wewe mwenyewe.


Umekuwa unafanya hivi kutokana na imani ulizonazo, na hata mazingira yanayokuzunguka.


Sasa rafiki yangu, leo nakwenda kukupa uhuru wa maisha yako.


Uhuru ambao utavunja vikwazo vyote unavyojiwekea wewe mwenyewe.


Uhuru utakaokuwezesha kupata chochote unachotaka kwenye maisha yako.


Angalia somo hili la leo na ujue hatua muhimu kwako kuchukua ili uache kuyazuia mafanikio yako mwenyewe.


Karibu sana tujifunze kwa pamoja na tuweze kuchukua hatua za kuboresha maisha yetu.


Kuangalia somo hili zuri la leo bonyeza maandishi haya.


Pia unaweza kuangalia moja kwa moja hapo chini.


Fanyia kazi yale ambayo umejifunza kwenye somo hili, ili uache kuwa kikwazo cha mafanikio yako.


Kila la Kheri Rafiki Yangu.

Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani,

Kupata blog yako ya kitaalamu, unayoweza kuitumia kutengeneza kipato, BONYEZA maandishi haya.


Kama umejifunza kupitia makala hii karibu tujifunze zaidi kupitia KISIMA CHA 


MAARIFA, ambapo utaingia kwenye kundi la wasap na kupata mafunzo kila siku. Bonyeza maandishi haya kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA.


Kwa kupata vitabu vya biashara na mafanikio tembelea www.kisimachamaarifa.co.tz/vitabu


Pata kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA ujifunze jinsi unavyoweza kuanzisha na kukuza biashara yako, pia utajifunza mifereji nane(08) ya kipato unayopaswa kuwa nayo ili kufikia uhuru wa kifedha. Bonyeza maandishi haya kupata kitabu.