Matatizo mengi kwenye maisha huwa yanaanza wakiwa madogo kabisa, ambayo kila mtu anaweza kuyatatua.

Lakini wengi huwa hawayakabili yakiwa madogo, badala yake wanayaficha au kuyapuuza na hilo linayapa nafasi ya kukua na kuwa hatari zaidi.

Wewe usifanye hivyo, kama kuna tatizo au hatari, kabiliana nayo, usiifiche wala kuikimbia.

Ukurasa wa kusoma ni kuhusu kuficha hakusaidii, fungua; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/02/11/2234

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma