
Ukiwa masikini unaweza kuona matajiri wana maisha rahisi kuliko wewe, kwa kuwa wanaweza kupata chochote wanachotaka.
Ukiwa tajiri unaweza kuona masikini wana maisha rahisi kuliko yako, kwa sababu hawasumbuki na mambo mengi.
Ukweli ni kwamba kila maisha yana gharama ambayo lazima ilipiwe, hakuna maisha ya bure.
Hivyo usihangaike kutafuta maisha yasiyo na gharama, badala yake chagua maisha unayotaka na kuwa tayari kulipa gharama yake.
Ukurasa wa kusoma ni kinachokukasirisha kikutofautishe; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/04/19/2301
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma