Mawazo 10 ya kuingiza fedha kupitia sanaa.
Sanaa ni eneo ambalo linawaburudisha watu. Kwa kuwa watu wanapenda burudani, huwa tayari kulipia ili kuipata.
Zipo fursa nyingi za kuingiza kipato kupitia sanaa. Hapa ni mawazo kumi unayoweza kufanyia kazi.
- Kuwa msanii, iwe ni uimbaji, uchoraji, uigizaji n.k.
-
Kuwa meneja wa msanii.
-
Kuandaa matamasha ya sanaa.
-
Kuuza kazi za sanaa.
-
Kununua na kumiliki hatimiliki ya kazi za sanaa anbazo baadaye zinaweza kuwa na thamani zaidi.
-
Kuwa wakala au dalali wa kazi za sanaa.
-
Kuwa na bidhaa zinazotokana na lebo ya sanaa au msanii.
-
Kuwa mzalishaji au msaidizi kwenye uzalishaji wa kazi za sanaa.
-
Kumiliki nyenzo za uzalishaji wa kazi za sanaa, mfano studio.
-
Kuandaa safari za wasanii kuzunguka maeneo mbalimbali.
Mawazo haya yanaweza kufanyiwa kazi kwenye sanaa yoyote.
Kabla ya kutumika yanapaswa kuchambuliwa zaidi ili kuona fursa zaidi kwenye kila wazo.
Kocha.
Asante Sana. WAAFRIKA TUNAPENDA Sana burudani. Sanaa ni eneo jingine tunapoweza kutengeneza mabilioni
LikeLike
Karibu Godius,
Siyo waafrika tu, ni dunia nzima.
Hata ukiangalia taifa kama Marekani, burudani ni sekta yenye uwekezaji mkubwa.
LikeLike
Asante kocha kwa Njia hizi
LikeLike
Karibu James.
LikeLike