
Huwa tunapenda kupendwa na kukubalika na kila mtu. Lakini hata tufanyenye, kuna watu wanachagua tu kutuchukia. Hasa pale unapochagua kuyaishi maisha yako na kufanya makubwa, wengi hawatafurahishwa na hilo.
Lakini wajibu wako siyo kumfurahisha kila mtu, bali kuyaishi maisha yako. Chagua kuyaishi maisha yako na wapuuze wale wanaokuchukua kwa wewe kufanya hivyo. Wanakuchukua kwa sababu hawawezi kufanya kama wewe.
Ukurasa wa kusoma ni chanzo cha chuki; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/01/2344
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma