
Hakuna siku maisha yako yatakosa vikwazo na changamoto mbalimbali. Hivyo ni vitu vitakuandama katika kipindi cha uhai wako.
Hivyo njia pekee ya kuwa na maisha ya mafanikio na yenye utulivu, ni kutumia kila kikwazo na changamoto kuwa imara zaidi, kuwa bora zaidi baada ya changamoto kuliko ulivyokuwa kabla.
Usizikimbie changamoto wala usikubali zikuangushe, badala yake zitumie kama ngazi ya kwenda juu zaidi, kuwa imara zaidi.
Hili linawezekana kama ukijijengea mifumo mizuri kwenye kila eneo la maisha yako.
Ukurasa wa kusoma ni laini, ngumu na imara; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/06/08/2351
#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma
Shukurani sana kocha kwa makala hii
LikeLike
Karibu
LikeLike