Kama mtu anajua kabisa kitu fulani yeye kimemsaidia na anakusihi sana wewe kiweze kukusaidia unapaswa kumshukuru sana mtu huyo. Kwa sababu atakusaidia kuepuka matatizo ambayo wengine waliyapitia lakini yeye anakusaidia ili usipate shida hiyo ambayo wengine walipitia.

Tuishukuru teknolojia kwa kuzidi kukua na kufanya maisha ya watu kuwa bora. Mimi na wewe ni sehemu ya watu wanaoifanya dunia kuwa sehemu salama, hivyo leo mimi ninauza sehemu ya mabadiliko hayo chanya naomba ununue mabadiliko hayo na uendelee kuisafisha dunia eneo ulilopo.

Dunia itakuwa safi kama kila mmoja wetu akianza kufagia uwanja wake, leo nenda kafagie uwanja wa ndoa au mahusiano yako kiujumla na ufagio huo ni kitabu kiitwacho Ijue Njaa Ya Wanandoa, tumia ufagio huu na utaifanya eneo la mahusiano yako kuwa bora.

Leo mimi nataka nikuuzie wewe sehemu ya mabadiliko chanya ya dunia ambayo yatakwenda kubadilisha eneo lako la mahusiano. Ninauza kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa, kazi yangu ni kuyafanya maisha yangu watu wengine kuwa bora kupitia kile nachofanya. Nakuja kwako kukuambia kuwa ninauza vitabu lakini leo naomba nikuuzie kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa kwa sababu eneo la mahusiano linasumbua watu mpaka wanashindwa kutafuta fedha.

Mafanikio bila mahusiano bora yanakua hayana maana. Unakua una raha gani ya kufurahia mafanikio yako wakati wale watu wako wa karibu umewapoteza?

Fedha inasumbua watu lakini yako mahusiano pia yanasumbua watu. Sipendi kuona watu wakiumia kwenye eneo la mahusiano na ndoa ambalo mimi ninayo dawa ambayo itaweza kukusaidia.

Dawa hiyo ni kitabu, kiitwacho Ijue Njaa Ya Wanandoa, kama uko kwenye ndoa au unataka kuingia kwenye ndoa kitabu hiki kitakufaa sana. Nauza dawa hiyo kwa elfu 15 tu.

Mwonekano wa kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa

Ulishawahi kutembea na kuona nyumba imeandikwa hapa hakuna matatizo? Hakuna, sasa usiseme ndoa yako haina matatizo wakati huna elimu ya msingi ya mahusiano na ndoa.

Nimepata shuhuda nyingi juu ya kitabu hiki ndiyo maana ninakusihi na wewe rafiki ukisome.

Watu wengi huwa wanazungumzia mambo ya nje tu ya mahusiano na yanayoharibu ndoa lakini katika kitabu hiki cha Ijue Njaa Ya Wanandoa utajifunza mpaka eneo chumbani kabisa, eneo la tendo la ndoa ambalo watu wengi wanalichukulia poa.

Ndoa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine. Na yeyote ambaye haipendi kazi yake hawezi kufanikiwa. Kama unaipenda ndoa yako utajifunza na kuhakikisha inakuwa bora.

Sikufichi watu wengi wanavurugwa na mahusiano ambayo yanawafanya kushindwa hata kufanya kazi kwa ufanisi ili kupata fedha.

Ili uwe na amani ya ndoa yako hakikisha unaliweka sawa eneo la mahusiano yako. Eneo la mahusiano likiwa vizuri utakua na utulivu wa kufanya kazi hata biashara yako vizuri.

Watu wakishakuwa na kisirani cha mahusiano wanataka wawavuruge kila mtu anayekutana naye kwa sababu sisi binadamu huwa tuna tabia ya kuuza kile ambacho kipo ndani yetu.

Rafiki yangu, chukua hatua leo; Yapende mahusiano na ndoa yako, okoa makosa unayofanya kila siku kwa kujifunza kupitia kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa.

Kupata kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa wasiliana nami kwa namba 0717101505 au 0767101504 na utahudumiwa au kuletewa hapo ulipo. Kumbuka popote ulipo tuko na tutakufikia.

Makala hii imeandikwa na
Deogratius Kessy, ambaye ni mwandishi, mwalimu na mjasiriamali.

Unaweza pia kujifunza mengi kutoka kwake kupitia mafundisho anayoendelea kuyatoa kupitia mtandao wake wa
http://kessydeo.home.blog vitabu na kwenye klabu yake ya MIMI NI MSHINDI. Karibu sana.

Ukawe na siku bora sana rafiki.

Rafiki na mwalimu wako,
Mwl, Deogratius kessy
0717101505//0767101504
deokessy.dk@gmail.com //
Asante sana