Kinachokufanya ukasirike siyo kile alichofanya mtu au kilichotokea, bali ni matatizo yako binafsi.

Unakasirika kwa sababu kuna namna unataka vitu viwe na havijawa, hivyo kupelekea kujiumiza zaidi.

Kuondokana na hasira, anzia ndani yako mweyewe, acha kutaka vitu viwe kama unavyotaka wewe na vipokee kama vinavyokuja kwako.

Pia usikubali tu kuchukua hatua kutokana na hisia unazokuwa nazo, badala yake chunguza ili ujue tatizo hasa ni nini.

Ukurasa wa kusoma ni makasiriko; http://www.kisimachamaarifa.co.tz/2021/08/23/2427

#NidhamuUadilifuKujituma #AfyaUtajiriHekima #KaziUpendoHuduma