Rafiki Yangu,

Hivi Ulishawahi Kufikiria Kwamba,Maisha Yako Yatakuwaje Leo Endapo Utakosa Milioni 1 Ya Kutatua Dharura Uliyoipata?….

Kama Utajisikia Vibaya Kama Wengine Ni Sawa…

Kwasababu Hili ni Tatizo Ambalo Linawasumbua Watu Wengi Sana,

Unaweza Ukawa Unajiuliza Hivi Bwana Rama Unamaanisha Nini Unavyosema Hivyo?…

Rafiki Nina Maanisha Kwamba Dharura ni Moja ya Mtego Mgumu Sana,

…na ni Moja ya Mtego Mbaya Sana,Unaowaweka Watu Kwenye Umaskini,

…na Hivyo Kuwakosesha Uhuru Wa Kuyaishi na Kuyafurahia Maisha Yao…

Kwasababu Dharura Inakula Kipato Chako,

Dharura Inazidisha Matumizi Yako,

Dharura Inakuingiza Kwenye Madeni Mabaya,

Dharura Inakuzuia Kuweka Akiba,

Dharura Inaathiri Uwekezaji Wako.

Kwahiyo Leo Hii Ukiweza Kuutegua,

Basi Utaweza Kutoka Kwenye Lile Kundi La 99% La Watu,

Na Utakuwa huru na Utaweza Kuyafurahia Maisha Yako na ya Uwapendao…

Kwa Mfano Hivi majuzi Kuna Mzee Mmoja Ambaye ni jirani Yangu mtoto wake aliugua ghafla, na akatakiwa kufanyiwa Oparesheni Ya Pua,

Baada ya kupelekwa hospitali, Licha ya Kuwa na BIMA Ya AFYA,

….akaambiwa gharama zote za matibabu ni Milioni 1,

Daaah!Bahati mbaya, Mzee wa watu alikuwa hana Hiyo Milioni 1 akajaribu kuwaomba Ndugu na jamaa Lakini Cha kushangaza WOTE hao walikuwa hawana,

Aisee Hii Hali ilimtikisa Sana, Kidogo Aombe Ardhi Ipasuke.

Akajaribu kukopa Kwa marafiki zake Wa karibu Lakini Cha kushangaza ni Kwamba Nao walikuwa hawana, wanamjibu kirahisi tu (UMETUSHTUKIZA).

Ghafla! akiwa anazunguka zunguka pale Hospitalini kama Bahati Kwake Kukutana na Mzee Amani pale hospitali,

Ndipo Ukawa Mwisho Wa Tatizo lake kwasababu Alipata Vitu Viwili Vikubwa Sana,Ambavyo ni MILIONI 1 Ya Matibabu Ya Mwanae,

Na Hatua Zote 5 za Kupata PESA Za Kukabiliana na Dharura yoyote Kwenye Maisha Yake.

Baada ya Kupata Vyote Hivyo Alimshukuru Sana Mzee Amani Kwa Kujali na Alifurahi Sana Kwa Ufupi Alirudisha TABASAMU LAKE Ndani Ya Dakika 5 TU!

Na Hizi Hapa Ndizo Hatua 5 Za Kufuata Ili Kupata PESA Za Kukabiliana na Dharura Yoyote,Alizopewa na Mzee Amani.

1. Hatua Ya Kwanza ni Kutumia Mfuko Wako Wa Akiba.

2. Hatua Ya Pili ni Kupata Kipato Cha Ziada.

3. Hatua Ya Tatu ni Kutia Huruma (Kuomba Usaidiwe)

4. Hatua Ya Nne ni Kuuza Uwekezaji Wako.5. Hatua Ya Tano ni Kuchukua Mkopo Kwaajili Ya Dharura.

Hakika Ukiweza Kufuata Hatua Hizi 5 BILA Kuruka Hata 1,

Basi na Wewe Utarudisha TABASAMU Lako Ndani Ya Ndani Ya Dakika 5 Tu!

Ooh, Kidogo Nisahau, Kwasababu Leo ni SIKU Yangu Muhimu Basi Natoa Nafasi Kwa Watu 9 TU!

…Wa Mwanzo Ambao Nitawafundisha BURE KABISA Kwa Kina Kabisa Hatua Hizi 5 Zinavyofanya Kazi Vizuri Sana,

Kwa Mfano Ukibonyeza Hiyo Link Hapo Chini Utakuwa Umepata Nafasi Yako,

(https://wa.link/1k3nrv)

KUMBUKA; Ni LEO Alafu ni BURE ,

Alafu ni Kwa Watu 9 TU! Wa Mwanzo,

Na ni Kwasababu Ni SIKU Yangu Muhimu.

ATTENTION! Naona Hapa Nafasi 1 Imeshachukuliwa,

ZIMEBAKI ; 8 TU!

Karibu. Ni Hapa (https://wa.link/1k3nrv)

Hii Makala Imeandikwa na Rafiki Yako Anayekukubali na Kukujali Sana,

Ni Bwana Ramadhani Amiri,

Ni | IT| na ni | Copywriter Wa Soma Vitabu Tanzania| na ni |Mwekezaji|

Asante. https://wa.link/1k3nrv