
Mpendwa Rafiki,
Kile unachokifanya kila siku ili kuongeza kipato ndicho kinachokufanya ubaki hapo ulipo.
Watu wengi wanaamini kuwa njia pekee ya kuongeza kipato ni kufanya kazi zaidi, kuanzisha biashara kubwa, au kupata kazi nyingine yenye mshahara mzuri.
Lakini ukweli ni huu: si kazi nyingi huongeza kipato bali kazi sahihi.
Sio kwamba hujajituma vya kutosha.
Wengi wamekuwa wakiamka alfajiri na kulala usiku sana, wakifanya kila linalowezekana kuwapa familia zao maisha bora.
Lakini kila mwisho wa mwezi, hesabu hazikubali mshahara hautoshi, biashara haitoi faida,
…na ndoto zinaendelea kusogezwa mbele.
Na kama umewahi kujisikia hivi, siyo wewe peke yako.
Najua unataka kusaidia familia yako zaidi, lakini kipato kilichopo hakitoshi.
Najua ulijaribu mara kadhaa, ukavunjika moyo na sasa unaogopa kujaribu tena.
Si kosa lako kabisa kwani hukufundishwa shuleni jinsi ya kubadilisha maarifa uliyonayo kuwa kipato.
Unapaswa kujua hili….
Kuna mbinu za kuongeza kipato mara mbili bila kuhitaji mtaji mkubwa, wala kuacha kazi yako.
Lakini mbinu hizo hazifundishwi shuleni na wengi hawazijui.
Ukweli Unaoumiza… Lakini Unaweza Kukomboa Kipato Chako
Sio kwamba kipato chako hakiwezi kuongezeka ni kwamba bado hujui njia ya kukiongeza.
Wengine wana kipato kikubwa kwa sababu wanajua kitu kimoja ambacho wewe hukijui bado.
Ukweli unaoumiza….
Kipato chako kinaakisi thamani unayoweka sokoni, si juhudi zako tu.
Kama hujaongeza kipato chako kwa miezi au miaka kadhaa, tatizo haliko kwenye juhudi zako.
Tatizo lipo kwenye mbinu na taarifa unazotumia.
Na hapo ndipo suluhisho linapoanzia.
Mbinu 3 Za Kuanza Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Leo
1. Tambua Ujuzi Unaoweza Kulipiwa Zaidi.
Huna haja ya kujifunza kitu kipya kabisa.
Anza kwa kuchunguza ni kitu gani unachokijua vizuri ambacho wengine hawajui,
… halafu jifunze kukiuza au kukitumia kwa njia tofauti.
2. Ongeza Thamani Kabla Ya Bei.
Kipato huongezeka si kwa kuongeza bei, bali kwa kuongeza thamani.
Badala ya kuuza tu bidhaa, jifunze kuongeza huduma, ushauri au ubora unaovutia watu waliopo tayari kulipa zaidi.
3. Tumia Saa Moja Kwa Wiki Kujifunza Mbinu Mpya.
Ukitumia Saa moja tu kwa wiki, unaweza kujifunza jinsi ya kujipatia kipato cha ziada kwa kutumia intaneti, kuandika, kufundisha, au hata kuuza maarifa yako.
Saa moja ya maarifa sahihi ni bora kuliko wiki nzima ya juhudi zisizoelekezwa kwenye kitu Sahihi.
Chukua Hatua Sasa. Usiache Kesho Ianze Kama Jana.
Ukitaka matokeo tofauti, anza kwa kuchukua hatua tofauti.
Na hii ndiyo hatua ya kwanza.
Anyway kama bado hujapata kitabu hiki cha (TANO ZA MAJUMA HAMSINI YA MWAKA), Kwa Ofa,
Basi bonyeza hapa 👇 kuweka oda yako Mapema.
Hii ni nafasi yako.
Kwani zimebaki kopi chache sana.
Usiruhusu mwaka mwingine upite ukiwa na kipato kile kile, hali ile ile, ndoto zile zile zisizotimia.
Maamuzi madogo huleta mabadiliko makubwa na hii ndiyo nafasi yako ya kwanza.
Kila Lakheri.
Na karibu 0756694090.
Imeandikwa Na Ramadhan Amir.