‎Rafiki Yangu,
‎
‎Kila siku unaamka na mzigo kichwani.
‎
‎Sio kwamba una kazi nyingi sana kuliko watu wengine.
‎Ni kwamba haujaupangilia muda wako.
‎
‎Unajaribu kukumbuka kila kitu kwa akili.
‎Simu inaita.
‎Mteja anasubiri.
‎
‎Kazi hazijaisha.
‎Mipango haijakamilika.
‎Na mwisho wa siku, unajikuta umechoka… lakini hujui umefanya nini cha maana.
‎
‎Hapo ndipo msongo unaanza.
‎Sio kwa kelele.
‎
‎Ni kimya.
‎Unakaa.
‎Unawaza.
‎
‎Unahisi kama muda unakuongoza… badala ya wewe kuuongoza.
‎Na ukweli mchungu ni huu…
‎
‎Maisha bila mpangilio wa muda, ni maisha ya presha ya kudumu.
‎Unaweza kuwa na ndoto kubwa.
‎
‎Unaweza kuwa na malengo makubwa.
‎Lakini bila mpangilio wa muda, kila kitu kinabaki kuwa mawazo tu.
‎
‎Watu wengi hudhani suluhisho ni kufanya kazi kwa bidii zaidi.
‎Kuamka mapema zaidi.
‎
‎Kulala kwa kuchelewa zaidi.
‎Kujilazimisha zaidi.
‎
‎Lakini hawajui tatizo halipo kwenye bidii.
‎Tatizo lipo kwenye mfumo.
‎
‎Kwa sababu bila mfumo, bidii inapotea.
‎Bila mfumo, muda unapotea.
‎Na muda ukipotea, maisha yanaanza kukupita.
‎
‎Lakini kuna kitu watu wachache sana wanakijua…
‎Ukidhibiti muda wako, unadhibiti maisha yako.
‎
‎Na hapa ndipo kitabu cha MUDA UPO kinapoingia.
‎Hiki si kitabu cha maneno ya kukutia moyo tu.
‎Hiki ni kitabu cha mfumo.
‎
‎Mfumo halisi.
‎Mfumo unaokufundisha jinsi ya kuipa siku yako ramani.
‎
‎Unajifunza jinsi ya kuanza siku yako kwa uhakika.
‎Unajua nini kifanyike kwanza.
‎Unajua nini kisubiri.
‎
‎Unajua nini kiondolewe kabisa.
‎Na ghafla, kitu cha ajabu kinatokea…
‎Akili yako inaanza kutulia.
‎
‎Presha inapungua.
‎Unahisi mwepesi ndani yako.
‎Kwa sababu sasa, hauishi kwa bahati mbaya.
‎
‎Unaishi kwa mpangilio.
‎Unaanza kumaliza mambo kwa utulivu.
‎Unaanza kuona maendeleo halisi.
‎
‎Unaanza kujiheshimu zaidi.
‎Na muhimu zaidi…
‎Unaanza kurudisha udhibiti wa maisha yako.
‎
‎Hii ndiyo tofauti kati ya mtu anayeishi kwa presha…
‎Na mtu anayeishi kwa mpangilio.
‎
‎Mmoja anafukuzwa na muda.
‎Mwingine anaongoza muda.
‎Na ukweli ni huu…
‎
‎Hakuna mtu atakayekuja kupangilia maisha yako.
‎Ni jukumu lako.
‎
‎Na kitabu cha MUDA UPO kimeandikwa kwa sababu hiyo.
‎Kukusaidia kuchukua udhibiti.
‎Kukusaidia kupunguza msongo.
‎
‎Kukusaidia kuishi maisha yenye amani, mpangilio, na uhakika.
‎Fikiria maisha ambayo:
‎Unaamka na utulivu.
‎
‎Unajua siku yako inaenda wapi.
‎Unafanya mambo muhimu bila presha.
‎Unalala usiku ukiwa na amani.
‎
‎Hayo maisha yanawezekana.
‎Na yanaanza kwa kitu kimoja tu…
‎Kujifunza kuupangilia muda wako.
‎
‎Usiendelee kuishi maisha ya kubahatisha.
‎Usiendelee kuishi maisha ya presha isiyo ya lazima.
‎Chukua hatua sasa.
‎
‎Pata kitabu cha MUDA UPO
.
‎Anza kujenga maisha ya mpangilio na amani.
‎
‎Hiki hapa 👇
‎
‎https://wa.link/qb711b
‎
‎Karibu.
‎0756694090