
Basi tayari uko hatarini.
Kakaa/Dadaa…
Umemuuzia nani wiki hii?
Wateja wanaojirudia ni kina nani?
Mauzo yamepanda au yameshuka mwezi huu?
Na hela zako ziko wapi?
Usijibu. Najua hujui.
Tatizo Ni Hili…
Biashara nyingi zinapoteza hela kimyakimya.
Sio kwa sababu bidhaa ni mbaya.
Sio kwa sababu wateja hawapo.
Ni kwa sababu mmiliki hajui kinachoendelea.
Hana mfumo. Hana kumbukumbu. Hana hesabu.
Anategemea kichwa.
Kumbuka: Kichwa sio computer. Kinaweza sahau.
Na Mbaya Zaidi…
Ukishaanza kusahau, biashara inaanza kufa.
Unauza lakini hauoni faida.
Unalipa wafanyakazi lakini huelewi kwa nini pesa haibaki.
Una wateja, lakini hawarudi tena.
Hujui kwanini walikuja… wala kwanini wameondoka.
Unalipa kodi kwa makadirio.
Unaumia kimya kimya.
Hebu Tuambiane Ukweli…
Biashara bila Mfumo wa Mauzo CRM na Accounting ni sawa na gari bila dashboard.
Hujui mafuta yako yamebaki kiasi gani.
Hujui speed yako.
Hujui kama injini inachemka.
Mwisho wake? Gari linawaka moto barabarani.
Na biashara yako nayo? Itaungua huku ukiangalia.
Hebu Nikufunze Kidogo…
Mauzo CRM ni Mfumo wa kuwasiliana, kuhifadhi, na kufuatilia wateja.
Unajua nani alinunua.
Nani alipiga simu.
Nani alisema “nirudie wiki ijayo.”
Nani anakudai.
Unamjua mteja wako kama anavyojijua mwenyewe.
Accounting system inakusaidia kujua:
Mapato
Matumizi
Faida
Madeni
Kodi ya kulipa
Hakuna ubashiri. Ni ukweli mtupu.
Usinidanganye Ukiwa Na Notebook Tu!
Karatasi hupotea.
Watu huandika juu ya daftari lako.
Na ukiumwa siku moja, biashara husimama.
Siku hizi, kuna mfumo unapatikana hata kwenye simu.
Rahatupu.
Unaona kila kitu kwa kubonyeza mara moja.
Wateja. Mauzo. Matumizi.
Na unaweza fanya maamuzi kwa data sahihi.
Ngoja Nikupigie Story Ya Mdau Mmoja…
Anaitwa Juma.
Alikuwa na duka la vifaa vya ujenzi.
Alikuwa anauza sana.
Lakini kila mwisho wa mwezi, alikuwa broke.
Mke wake alifikiri ana wake wa nje.
Watu walimwita milionea wa midomo.
Siku moja akakutana na kijana mmoja kwenye semina.
Akamwambia: Bila mfumo, utafilisika ukiwa unaangalia.
Akaanza kutumia Mauzo CRM & Accounting system.
Baada ya miezi 3, alijua:
Bidhaa zipi zinaingiza hela
Wateja gani wanarudia sana
Matumizi yasiyo ya lazima
Leo hii?
Ana maduka matatu.
Anasafiri nje ya nchi.
Na mke wake anatembea kifua mbele mitaani.
Sasa Ni Zamu Yako…
Usiendelee kuwa mjanja wa mdomoni na maskini wa mfumo.
Biashara yako inastahili mfumo bora.
Mfumo Wa Mauzo CRM & Accounting system sio gharama.
Ni silaha ya mjasiriamali wa kweli.
Anza leo.
Usikose kesho yako kwa sababu ya kichwa chako.
Usingoje Kuungua Ndiyo Utafute Kizima Moto!
Chukua hatua sasa.
Pata mfumo wa Mauzo CRM & Accounting leo,
…uanze kuona biashara yako kwa macho ya data, sio hisia.
Kupata mfumo huu tuma ujumbe NATAKA MFUMO WA MAUZO
Kwenda NAMBA 0756694090.
Hii si gharama. Ni uwekezaji wa akili.
Tunaweka mfumo. Unavuna faida.
Usiendelee kuwa mjanja bila mpango.
Karibu.
Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.