‎Kakaa/Dadaa Yangu…

‎Watu wengi wanakufa maskini si kwa sababu walizaliwa maskini…

‎Wanabaki maskini kwa sababu wanaishi bila sheria.

‎Wanapiga hatua moja mbele… halafu wanarudi tatu nyuma.
‎Siku zinaenda, miaka inasonga… maisha yanabaki pale pale.

‎Unaamka, unaenda kazini… lakini huna cha maana unaweka mezani.
‎Kila ukijaribu kusonga, kuna kitu kinakuvuta nyuma.

‎Unajua ni nini?
‎Huna ramani.
‎Huna sheria.
‎Huna mwelekeo.

‎Na Hapo Ndio Unatupwa Katika Kundi la “Wanaojitahidi Tu”

‎Unahangaika sana, lakini hakuna matokeo.
‎Unasoma vitabu, unaenda semina… lakini maisha yako hayabadiliki.

‎Una marafiki wanafanikiwa, lakini wewe bado unahaha.
‎Una ndoto, lakini hazina miguu.

‎Una malengo, lakini hayatimizwi.
‎Una nia nzuri, lakini hakuna mbinu.

‎Inachosha.
‎Inaumiza.
‎Inavunja moyo.

‎Unaweza ukajiona kama vile maisha yamekuchoka.
‎Kila kitu kinagoma.
‎Kila mtu anakupita.

‎Wewe unabaki unaangalia… ukiwa na maswali kuliko majibu.


‎Na Tatizo Halipo Kwenye Bahati… Lipo Kwenye Mfumo Wako

‎Wengi wanangoja bahati.
‎Wanasema: “Siku moja nitapanda juu.”
‎Hiyo siku haiji.
‎Kwa sababu hawafuati sheria.

‎Sheria za maisha.
‎Sheria za mafanikio.

‎Hakuna mafanikio bila sheria.
‎Kama vile gari halisafiri bila barabara.

‎Kama vile mti hauoti bila mizizi.
‎Maisha yanahitaji misingi.
‎Na misingi hiyo ni sheria.

‎Na sio sheria ngumu.
‎Ni zile rahisi.
‎Zenye mantiki.
‎Zenye mpangilio.

‎Lakini wengi hawajui.
‎Wengine wamewahi kusikia, lakini hawafuati.

‎Na ndio maana maisha yao ni kama gari lililoharibika breki, linaenda tu… bila mwelekeo.

‎Sasa Hii Ndio Dawa – Sheria 100 Za Maisha Ya Mafanikio

‎Nimekuandalia sheria hizi kwa jasho na damu.
‎Zimetoka kwa tajiri aliyewahi kulala kwenye dari la mabati.

‎Zimetoka kwa kijana aliyekua anauza vocha, leo ana kampuni.
‎Zimetoka kwa mwanamke aliyetelekezwa, leo ana biashara tano.

‎Sheria hizi ni silaha.
‎Zikupatie mwelekeo.
‎Zikupatie nguvu ya kupambana.
‎Zikusaidie kuachana na maisha ya mdundo mmoja.

‎Ukitaka kubadilisha maisha yako…
‎Ukitaka kuamka kutoka usingizini…
‎Sheria hizi ni Biblia / Juzuu yako mpya.


‎Sikiliza Story ya Kelvin Kijana Aliyeamua Kubadilika

‎Kelvin alikua anaishi Tandale, kwa mama wa kambo.
‎Alikua anafukuzwa shule kila siku —si kwa sababu ni mjinga, bali hakuwa na sare.

‎Alikua anaota kuwa mtu mkubwa, lakini mtaa ulimcheka.
‎Siku moja akapewa kitabu kidogo tu kilikua na “Sheria 100 Za Maisha Ya Mafanikio”

‎Akakisoma.
‎Akaanza kubadili tabia.
‎Akaanza kuamka mapema.
‎Akaanza kujifunza kila siku.

‎Akaacha kulalamika.

‎Leo Kelvin ni mkurugenzi wa kampuni inayouza bidhaa mitandaoni.
‎Analipa kodi.

‎Anasaidia mama yake.
‎Anafundisha vijana wenzie.

‎Na yeye anasema hivi:

‎”Maisha yanabadilika pale unapofuata sheria za maisha, si pale unapongoja msaada.”

‎Sasa Ni Zamu Yako

‎Sheria 100 hizi si hadithi za kuburudisha.

‎Ni mashine ya kukutoa kwenye maisha ya hovyo hovyo.

‎Ni mwelekeo mpya wa mafanikio.

‎Ukiamua kuzifuata, hakuna kitakachokuzuia.
‎Ukiamua kuzipuuza, usilalamike maisha yanapokuchezea.

‎Anyway, kama bado hujazipata hizi sheria 100 za maisha ya mafanikio,

‎Basi Bonyeza Hapa 👇

https://wa.link/658iaa

‎Karibu.
‎0756694090.

Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan.