
Kakaa/Dadaa Yangu…
Unajituma.
Unaamka mapema.
Unajitangaza kila kona.
Lakini bado…
Mauzo yako yapo pale pale.
Wateja wanapita…
Wanatazama…
Wanacheka kidogo…
Halafu wanasepa bila kununua.
Inakera, sio?
Wewe Sio MZEMBE, Ila Unajua Nini Unakosea?
Biashara sio kupiga kelele tu.
Sio kuweka bidhaa Instagram kila siku.
Wateja hawataki kuuziwa.
Wanataka kushawishiwa.
Na kama hujui njia ya kuwashawishi…
Utawatazama tu wakinunua kwa jirani.
Watu Wengi WANADANGANYWA…
Wanambiwa:
“Tangaza zaidi.”
“Tengeneza logo kali.”
“Fungua TikTok.”
Lakini bado…
Mauzo hayapandi.
Kwani shida iko wapi?
Shida siyo bidhaa.
Shida ni lugha unayotumia kuuza.
Suluhisho Liko HAPA…
Kitabu cha CHUO CHA MAUZO
Hakifundishi tu kuuza.
Kinakufundisha namna ya kumvuta mteja kwa maneno.
Unajifunza:
Jinsi ya kupata wateja wengi tarajiwa.
Jinsi ya kumtenganisha mteja na fedha zake.
Namna ya kumshawishi mtu hata kama alikuwa hana mpango wa kufanya kile ulichomtaka afanye, hapo kabla.
Mbinu za kuuza bila kuomba.
Kuongea na mteja hadi aseme “NIUZIE!”
Hiki sio kitabu cha nadharia.
Ni silaha ya mjasiriamali.
Soma Stori Hii Fupi…
Mwaka 2024…
Kuna jamaa kariakoo alikuwa na duka la nguo.
Kila siku anakaa hadi saa tatu usiku.
Mauzo? Ya kuvunja moyo.
Alijua biashara haimlipi.
Aliwaza kufunga.
Siku moja akapata mkononi kitabu cha CHUO CHA MAUZO.
Alikisoma usiku kucha.
Kesho yake akaanza kutumia maneno ya ushawishi aliyoyakuta Kwenye module ya 6.
Ukurasa Wa 316.
Akaanza kugusa maumivu ya mteja.
Wiki moja baadaye, wateja wakaanza kumiminika kama mvua.
Mmoja akamwambia:
“Nimekuja kwa sababu umenishawishi na umegusa maumivu yangu”
Leo?
Anafungua saa 1 asubuhi.
Anapiga mauzo ya maana kabla ya saa 7 mchana.
Alisema hivi:
“Sikubadilisha bidhaa, nilibadilisha lugha yangu ya kuuza.”
Na Wewe UNAWEZA…
Unahitaji tu kupiga hatua moja ya busara.
Usingoje hadi hali iwe mbaya zaidi.
Kama kweli unataka kuona mauzo yakikua mara mbili zaidi.
Chukua kitabu hiki leo.
Kitabu chenyewe kinajiuza.
Lakini ukikisoma,
Utajua kuuza hata jiwe kwa bei ya dhahabu.
Na kwasababu Leo ni Happybirthday ya Kocha Dr Makirita Amani, Unakipata Kwa Ofa ya Tshs 29,999 TU Badala Ya Tshs 50,000 Nzima.
Basi bonyeza hapa 👇
https://wa.link/vu58hn
Karibu.
0756694090.
Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan Amir.