Iokoe Leo Kabla Hujachelewa. 🔥

🔥
Rafiki Yangu Mpendwa,
Unawahi kuamka asubuhi, simu imejaa meseji za wateja.
Mwingine anakudai risiti, mwingine anataka kujua taarifa ya oda yake.
Halafu kuna yule wa jana uliahidi kumpigia, ukasahau.
Mmoja alikuwa serious kununua lakini hujui ni yupi!
Kibaya zaidi, hela zinapita mikononi, lakini hujui zinakwenda wapi.
Rafiki, biashara si kubahatisha. Biashara ni mfumo.
Na kama hauna mfumo wa CRM & Accounting, unacheza na moto.
CRM inakumbuka kila mteja, historia yake, malalamiko yake, na tabia yake ya kununua.
Accounting inakuonyesha hela inayoingia na inatoka vipi – live!
Hujawahi kuibiwa hela na cashier?
Hujawahi kushangaa mwezi umeisha hela imeenda wapi?
Hujawahi kuona wateja wako wanapotea kimya kimya kwa washindani?
Yaani, unahisi kuna mashimo kwenye ndoo yako ya biashara, maji yanamwagika kila siku!
Unadanganywa na maneno matamu ya “tunakuandikia kwenye daftari”,
Lakini faida hupati.
Kila siku ni kusuasua, kurudia, kusahau, kukimbizana na risiti, na kuomba Mungu.
Sawa. Wengi wanadhani biashara ni kuuza tu.
Kutoa tu bidhaa, basi hela imeingia.
Wanakosea!
Kuuza ni hatua moja.
Kumjua mteja, kumtunza, kumrudisha tena, na kufuatilia hela zako hiyo ndiyo biashara.
Daftari?
Excel?
Notes za simu?
Zote hizo ni “zama za mawe” kwenye dunia ya biashara.
Unajichelewesha mwenyewe.
Unakata tamaa mapema.
Na unawapa washindani wako nafasi ya kukuacha mbali.
Sasa sikia vizuri kaka/dada…
Mfumo wa CRM & Accounting ni kama kuwa na msaidizi asiyechoka.
Anakumbuka kila mteja wako, hata wale uliowasahau.
Anakutengenezea ripoti ya kila mauzo na matumizi.
Anakukumbusha madeni, anakuonyesha bidhaa zinazouzwa zaidi.
Anakupigia hesabu zako kila mwisho wa mwezi.
Anakupa picha kamili ya biashara yako usiku na mchana.
Unapanga, unaona, unajua.
Hakuna kubahatisha tena.
Unaanza kuuza kisayansi siyo kihisia.
Namkumbuka jamaa mmoja anaitwa Nixon.
Alikuwa anaendesha duka la vipodozi Sinza.
Mwaka 2023, alikuwa anatumia daftari na simu yake kuwahifadhi wateja.
Alikuwa anasema, “Mimi nawaweza tu kichwa kwa kichwa.”
Mwaka ukaisha, hajui alipata faida kiasi gani.
Wateja walianza kulalamika,
Nixon Umenisahau!
Mwingine akasema, Uliniahidi discount!
Nixon akaanza kuchoka, akataka kuuza duka.
Mwaka 2024, akakubali ushauri.
Akaingia kwenye mfumo wa Mauzo CRM & Accounting.
Leo Nixon ana dashboard anaangalia kila kitu kwa clicks chache tu.
Wateja wake wanarudi.
Wengine wanamtumia referrals.
Yeye mwenyewe ana amani.
Anajua biashara yake iko mikononi mwa mfumo, siyo kihisia tena.
Hii si zama za kumbukumbu kichwani.
Hii si zama za kubahatisha na daftari.
Hii ni zama za Mauzo CRM & Accounting.
Unataka kuuza kwa akili?
Unataka wateja warudi tena na tena?
Unataka hela zako ziwe na mwelekeo?
Basi anza kutumia mfumo wa Mauzo CRM & Accounting leo.
Ukiendelea kutumia daftari, usilalamike ukipoteza biashara.
Kama Nixon aliweza hata wewe unaweza.
Ni wakati wa kuwa mjanja kibiashara.
Usifanye kazi ya watu watatu, wakati mfumo unaweza kukusaidia bila kulalamika.
🛑 Sasa ni wakati wa kufanya uamuzi wa kishujaa kwa biashara yako.
Ukiendelea kuahirisha, ndivyo unavyoiangalia ikififia kidogo kidogo hadi iishe kabisa.
Tuma Meseji 💬 “Nataka MFUMO WA MAUZO CRM & Accounting”
Kwenda 0756694090.
Au bonyeza hapa 👇
https://wa.link/fes44q
Nitakupa ushauri wa bure, bila longolongo.
Nitakuonyesha mfumo bora ambao unaweza kubeba biashara yako kutoka kuwa usumbufu hadi utulivu.
📲 Tuma ujumbe sasa hivi kabla mshindani wako hajasoma makala hii pia.
Usisubiri kuzika ndoto zako zifufue kwa mfumo sahihi!
Karibu.
0756694090.
Hii Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Mkufunzi Ramadhan