Rafiki Yangu,

Wacha nikuambie ukweli mchungu.

Watu wengi wana bidhaa au huduma bora, …lakini hawana wateja.

Na si kwa sababu bidhaa zao ni mbaya,Hapana.

Ni kwa sababu hawana mfumo wa kuvutia wateja kila siku.

Wanategemea bahati, *referral,* au wateja wa zamani kurudi.

Na wanapokosa wateja, wanachanganyikiwa, wanashusha bei, wanakata tamaa polepole bila hata kujua kosa lilipo.

Lakini biashara haiwezi kukua kwa kubahatisha.

Unahitaji mfumo.

Mfumo unaovuta wateja wapya hata ukiwa umelala.

Mfumo unaofanya watu wasiojua chochote kuhusu wewe waanze kukufuata,wawaamini, halafu wanunue.

Sasa, siri ipo kwenye kujenga uhusiano wa thamani kabla ya mauzo.

Wateja hawapendi kununuliwa wanapenda kusaidiwa.

Ukijifunza namna ya kuzungumza lugha ya wateja wako, kuwasaidia kutatua matatizo yao kupitia maudhui,

Wataanza kukuona tofauti na wengine.

Na hapo ndipo unapoanza kuvuta wateja bila kuwalazimisha.

Lakini tatizo ni kwamba wengi hawajui wapi pa kuanzia.

Wanapost ovyo ovyo mitandaoni, kwasababu wengine wanapost.

Wakitumaini *labda siku moja watapata wateja wengi.

*Ukweli ni kwamba….Hiyo si biashara ni bahati nasibu.

Na bahati haijengi biashara imara.

Ninamkumbuka kijana mmoja nilimfundisha mbinu hii, mwaka juzi.

Alikuwa analalamika kila siku hana wateja.

Tukaanza kujenga mfumo wake wa mawasiliano.

Tulibuni ujumbe wa thamani, tukaunda mfumo wa kuvutia wateja kupitia barua pepe, mitandao na maudhui.

Baada ya miezi mitatu, alianza kupokea mteja mpya kila siku.

Leo hii, anasema, *Ramadhani*, biashara yangu sasa inanipigia simu yenyewe.

*Ukweli ni huu…Huhitaji wateja wengi kuanza, unahitaji mfumo mzuri.

Mfumo unaowajenga wateja wako kabla hawajanunua.

Mfumo unaofanya wateja wajisikie salama kufanya biashara na wewe.

Mfumo unaogeuza kila mawasiliano kuwa fursa ya mauzo.

Na njia bora zaidi ya kujifunza siri hii ipo kwenye kitabu hiki kipya cha *NUNUA WATEJA*.

Kitabu hiki kinakuonyesha hatua kwa hatua namna ya kujenga mfumo unaovuta wateja kila siku, bila shinikizo, bila gharama kubwa, na bila kutegemea bahati.

Utafahamu namna ya kuvuta wateja kama sumaku.

Kama umechoka kusubiri wateja, sasa ni muda wa kujenga mfumo wako.

Usiweke maisha ya biashara yako mikononi mwa bahati.

Jenga mfumo utakaokuletea wateja kila siku kwa uhakika.

Hata ukiwa likizo, ukiwa umelala, au bila kutuma post yoyote mpya.

Kwa mfano ukisoma kitabu cha *NUNUA WATEJA* leo.

Utagundua kwamba biashara bora haitegemei bahati,

Inafuata mfumo unaovuta wateja kila siku, kimya kimya, lakini kwa uhakika.

Anyway, kama bado unapata wateja kwa kusuasua au huna wateja,…basi soma kitabu hiki kipya cha *NUNUA WATEJA* Unakipata hapa 👇 TU!

*https://wa.link/9p4izz*

Karibu.

0756694090.