Rafiki Yangu,
‎
‎Kuna watu wengi sana wanafanya kazi usiku na mchana, lakini bado fedha inawakimbia.
‎
‎Unapata mshahara leo, ndani ya siku 15 huna hata mia mfukoni.
‎Unajiuliza, Hivi pesa yangu inaenda wapi?
‎
‎Siri ni moja tu fedha imekukataa.
‎Umeifanya adui yako bila kujua.
‎
‎Sasa ngoja nikuambie kitu ambacho shule haikukufundisha…
‎
‎Fedha ni kama rafiki mzuri.
‎Inahitaji utunzaji, heshima, na mpangilio.
‎Ukijua jinsi ya kuishi nayo vizuri, itakupenda.
‎
‎Ukiona pesa kama kitu cha kuipoteza haraka, itakutoroka haraka zaidi.
‎
‎Wengi tunalalamika hatuna pesa, lakini ukweli ni kwamba hatujui kuishi na pesa.
‎
‎Tunaitumia vibaya, tunaitisha mkopo kwa hasira, tunanunua vitu vya kuonyesha, si vya kutengeneza.
‎Tunapanga kutumia kesho, lakini hatupangi kuwekeza leo.
‎
‎Ndiyo maana kila mwezi unarudia historia ileile unapata, unatumia, unalalamika.
‎
‎Lakini hebu fikiria hivi…
‎Kama ungeanza kuitazama fedha kama rafiki, ungefanyaje?
‎Rafiki unampangia muda, unamjali, unamfahamu tabia zake.
‎
‎Hivyo ndivyo unavyotakiwa kufanya na fedha.
‎Unapaswa kuijua tabia yake.
‎Fedha inampenda mtu anayejua kuipanga.
‎Inampenda mtu anayejua kuizalisha.
‎
‎Inampenda mtu anayejua kuiheshimu.
‎
‎Hii hapa siri:
‎Usitumie fedha yako yote.
‎Anza na buku moja, iweke pembeni kila siku.
‎Tengeneza tabia ya kuwekeza hata kidogo, lakini kwa uthabiti.
‎
‎Fedha ikiona unaiamini, inaanza kukuamini pia.
‎Inaongezeka polepole hadi unashangaa kumbe siri ilikuwa nidhamu tu!
‎
‎Ninajua unafikiri huwezi kuwekeza kwa kipato chako cha sasa.
‎Lakini ukweli ni huu, hakuna kipato kidogo kwa mtu mwenye akili kubwa.
‎
‎Tatizo si kiasi cha pesa, ni namna unavyoitazama.
‎Wengine walianza kwa elfu moja, leo wana biashara zinazowalipa milioni.
‎
‎Walianza tu wakati wengine walikuwa wanasubiri mshahara mkubwa.
‎
‎Nikupe mfano wa kweli kabisa…
‎Kuna jamaa mmoja aliyeamua kujiwekea buku moja kila siku.
‎Kila siku, bila kukosa.
‎
‎Miaka miwili baadaye, alianza biashara ndogo ya kuuza juisi.
‎Leo ana kiwanda kidogo cha vinywaji, na anasema jambo moja tu:
‎Nilipoanza kuiheshimu pesa, ndipo pesa ilipoanza kuniheshimu mimi.
‎
‎Ndugu yangu,
‎Fedha si adui yako.
‎Ni silaha yako ya uhuru, lakini kama huijui, itakupiga wewe.
‎Ukitaka kuishi maisha ya amani ya kifedha, jifunze kuifanya pesa iwe rafiki yako.
‎Anza kuwekeza, jifunze misingi ya fedha, jenga tabia mpya leo.
‎
‎Na kama unataka kujua jinsi ya kulala huku pesa zako zikikufanyia kazi,
‎
‎Basi soma kitabu hiki cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI.
‎
‎Kitakufundisha namna ya kujenga urafiki wa kweli na fedha.
‎Urafiki utakaokufanya uitawale, badala ya kukutawala.
‎
‎Bonyeza hapa 👇 kukipata kwa ofa,
‎
‎https://wa.link/kj1hrl

Karibu.

0756694090.
‎
‎PS: Fedha Ni Rafiki Mzuri Sana…
‎Lakini Ni Adui Mbaya Usipomuelewa.