
Rafiki Yangu,
Hebu fikiria kitu kidogo…
Kila siku unaamka mapema, unatafuta, unakimbizana na majukumu, halafu mwisho wa mwezi unashangaa mbona hesabu haikui.
Unajituma kuliko wengi, lakini kipato kinategemea nguvu zako asilimia mia.
Tatizo?
Mwili ukilala… pesa pia zinalala.
Hiyo ndiyo siri inayokufanya uendelee kukimbizana na maisha bila kupata nafasi ya kupumua.
Na sio kosa lako.
Hujafundishwa mfumo.
Watu wengi hawajui kabisa kwamba kipato kinaweza kukua bila wewe kuwepo.
Kipato kinaweza kuendelea kuingia hata ukiwa umelala, umesafiri au upo kwenye majukumu ya kawaida.
Ukweli ni kwamba….
Dunia ya leo haiendeshwi tena kwa nguvu za mwili.
Inaendeshwa kwa mifumo.
Wale unaowaona kimya kimya wanapiga hatua sio kwamba wana miujiza wanafanya kitu ambacho wewe bado hujaanza.
Wamefanya pesa iwafanyie Kazi.
Wewe unatumia nguvu zako.
Wao wanatumia pesa yao.
Na hapo ndipo tofauti inaanza kujionyesha.
Ukiendelea kutegemea kipato kinachotoka kwenye nguvu zako, maisha yatakupiga kisawa sawa.
Na utabaki na yale maumivu kimya kimya, ambayo umeyabeba ndani, Lakini haumwambii yoyote.
Lakini hapa ndipo watu wa kawaida wanawashangaza wengi…
Wanajua kitu kimoja tu…
Pesa ndogo ikitawaliwa vizuri, inaleta maajabu.
Hapo nyuma….
Mtaani kwetu kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Masele.
Hakuwa mtu wa pesa.
Anafanya kazi za kawaida, mishahara haivuki hata milioni moja.
Hana biashara kubwa, hana connection… mtu wa kawaida kabisa.
Siku moja alimsikia mtu akisema:
Tatizo lako sio kipato kidogo… ni matumizi bila mpango.
Kauli ikamchoma.
Ikamgusa.
Ikamfanya akae kimya siku nzima akitafakari.
Akaamua kujaribu kitu kidogo tu kuweka pembeni buku 5 kila wiki.
Si project, si biashara, si kitu cha kutisha. Buku 5 tu.
Baadaye akajifunza misingi michache ya uwekezaji.
Akaanza kuweka kidogo kidogo kwenye maeneo salama.
Akaanza kuifanya pesa ifanye kazi hata wakati yeye anaendelea na shughuli zake.
Miaka miwili mbele…
Masele sio yule wa zamani.
Sio tajiri, lakini sasa ana mfumo.
Ana kipato kinachoingia bila yeye kuwepo.
Hata akiwa analala, anaingiza pesa ndogo ndogo zinazoendelea kukua.
Siri ni misingi tu na kanuni sahihi.
Kwanini Nakwambia Hii Leo?
Kwa sababu hali yako ya leo haibadiliki kwa juhudi tu.
Inabadilika kwa maarifa sahihi.
Ujuzi ambao shuleni hawakutufundisha.
Na ndiyo maana watu wakipata elimu sahihi ya uwekezaji, hata kipato cha kawaida kinabadilika kuwa mfumo wa kipato endelevu.
Kama Kipato Chako Bado Kinaishi Kwa Nguvu Zako… Ni Hatari.
Gharama za maisha hazishuki.
Majukumu hayaishi.
Mahitaji hayapungui.
Lakini kipato kinaweza kuongezeka kama ukiamua na kuacha kuzikimbiza pesa, na kuanza Kufanya pesa ifanye kazi kwaajili yako.
Hapa Ndipo Kitabu Cha ELIMU YA MSINGI YA UWEKEZAJI Kinaingia…
Kama ulikuwa unatafuta hatua ya kuanzia, hapa ndipo.
Kitabu hiki ndicho msingi ambao watu wa kawaida wanatumia kugeuza kipato kidogo kuwa mfumo.
Ndani yake utajifunza:
Namna ya kuanza uwekezaji hata ukiwa na pesa ndogo mno.
Namna ya kutawala pesa yako badala ya pesa kukutawala.
Namna ya kujenga mfumo wa kipato kinachoendelea hata wewe ukiwa usingizini.
Namna ya kuzuia pesa kuvuja bila uelewa.
Namna ya kuanza safari ya uhuru wa kifedha bila kuumiza kichwa.
Kumbuka Hiki Kitu Moja…
Ukiulaza mwili, usilaze pesa pia.
Lazima pesa iendelee kufanya kazi, hata kama wewe ukipumzika.
Na safari hiyo inaanza na uamuzi mdogo tu…
Kuamua kujifunza misingi sahihi.
👇 Hapa Ndipo Safari Inaanzia
https://wa.link/kj1hrl
Karibu.
0756694090
PS: Watu Wanaopiga Hatua Haraka Sio Matajiri.
Ni Wale Walioamua Kuanza Mapema Bila Kusubiri Mazingira Yabadilike.
Usiendelee Kubahatisha Anza Kwa Usahihi Leo.