*Rafiki Yangu,

Huhitaji kuanza na biashara kubwa ili kufanikiwa.

Unaweza kuanza na kidogo ulicho nacho.

Lakini usifanye kosa la kuamini kwamba bidii yako pekee ndiyo itakayokuza biashara.

Kadri biashara inavyokua, majukumu yanaongezeka.

Wateja wanaongezeka.Mauzo yanaongezeka.

Wafanyakazi wanaongezeka.

Changamoto zinaongezeka.

Bila mfumo, wewe ndiye unayeongeza mzigo.

Ndiyo maana tangu mwanzo unahitaji kujenga mifumo ya mauzo, fedha, watu, huduma na uendeshaji.

Lengo si kujenga biashara inayokufanya ufanye kila kitu.

Lengo ni kujenga biashara inayoweza kukua bila kukutegemea moja kwa moja.

*https://wa.link/289wdg*

Anyway, PACKAGE YA BIASHARA inakusaidia kujifunza namna ya kuanzisha, kukuza na kujenga mifumo ya biashara yako.Anza kidogo.

Kua kwa mfumo.

Jenga uhuru.

https://wa.link/289wdg

Pata PACKAGE YA BIASHARA leo.

Karibu.

0756694090