
Rafiki Yangu,
Ukiondoka, kila kitu kinasimama? Wateja wanakutafuta wewe, maamuzi yote yanapita kwako, na hakuna mfumo unaoendesha biashara bila uwepo wako.
Hiyo si biashara inayokua…ni kazi uliyojiajiri.
AMKA CONSULTANT inakusaidia kutambua mianya, kujenga mifumo na kuweka biashara kwenye njia ya ukuaji.
Kujifunza zaidi, unaweza kuanzia hapa
https://wa.link/kv4gfw
Jenga biashara inayokua, si inayokuchosha.
Karibu.
0756694090