Karibu mwanamafanikio kwenye ukurasa huu maalumu wa BARUA ZA MWAKA WA MAFANIKIO 2020/2021.
Hizi ni barua zinazojibu changamoto mbalimbali ambazo wanamafanikio wanapitia katika safari yao ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa.
Ukurasa huu una mfululizo wa barua zote, unaweza kupakua barua kwa kubonyeza jina la barua husika moja kwa moja.
Karibu ujifunze na uchukue hatua ili kuweza kufikia mafanikio makubwa zaidi kwenye maisha yako.
Kocha.
MWONGOZO WA KISIMA CHA MAARIFA KWA MWAKA WA MAFANIKIO 2020 – 2021
BARUA #00; UTANGULIZI WA MWAKA WA MAFANIKIO 2020-2021
BARUA #01; MAANA YA MAFANIKIO KWAKO.
BARUA #02; JINSI YA KUPATA HAMASA ISIYOISHA.
BARUA #03; MAANA YA UHURU KAMILI NA JINSI YA KUUFIKIA.
BARUA #04; NAMBA, NJIA PEKEE YA KUJIPIMA.
BARUA #05; MWONGOZO WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI.
BARUA #06;JINSI YA KUFIKA NGAZI ZA JUU ZA UFANISI.
BARUA #07; UBATIZO WA MAFANIKIO.
BARUA #08; LIFANYE KILA NENO LAKO KUWA SHERIA KWAKO.