Knowing others is intelligence;
knowing yourself is true wisdom.
Mastering others is strength;
mastering yourself is true power.
– Lao Tzu
Kuwajua wengine ni akili,
Kujijua mwenyewe ni hekima ya kweli.
Kuwatawala wengine ni ushupavu,
Kujitawala wewe mwenyewe ndiyo nguvu ya kweli.
Kabla hujawajua wengine, kazana kujijua wewe mwenyewe kwanza.
Kabla hujawatawala wengine, anza kujitawala wewe mwenyewe kwanza.
Utagundua kwamba, ukianzia kwako, vitu vinakuwa rahisi.
Lakini ukianzia kwa wengine, ni rahisi kushindwa na kukata tamaa.
Uwe na siku bora leo, siku ya kuhangaika na yako kabla ya kuhangaika na ya wengine.
#NidhamuUadilifuKujituma
#AfyaUtajiriHekima
#KaziUpendoHuduma
Wako rafiki katika safari ya kuelekea kwenye mafanikio makubwa,
Kocha Dr Makirita Amani,
http://www.t.me/somavitabutanzania