Mpendwa Rafiki,

Ndivyo ilivyo kwenye ulimwengu wa biashara.

Kwani biashara nayo ni shule ambayo haina kuhitimu, bali ina mitiani migumu.

Nenda na hii, Kuanzia leo jua kila changamoto inayokukabili jua ni mtihani Wako.

Ukifaulu Huo mtihani siyo kwamba utakuwa umemaliza bali unakuwa umekaribisha mtihani mwingine mgumu Zaidi.

Kwa Mfano biashara nyingi zimeshindwa kukua zaidi kwasababu zimeshindwa kujibu mitiani hii vizuri Sana.

Ambayo inaangukia Kwenye maeneo haya Manne (4).

1. Eneo La Kwanza ni – Kupata Biashara.

2. Eneo La Pili ni – Kufanya Biashara.

3. Eneo La Tatu ni – Kuendesha Biashara.

4. Eneo La Nane Ni – Kuongoza Biashara.

Wengi wameweza Kujibu mtihani wa kwanza na wapili Lakini watatu na wanne (4) umewashinda Kabisa.

Kwakuwa mitihani hii imekuwa migumu sana.

Wewe kuwa tofauti.

Itegue mitiani ndani ya Kitabu hiki Cha *MJASIRIAMALI MJANJA*

Kukipata weka oda yako hapa*https://wa.link/4vgre2*

Karibu. *https://wa.link/4vgre2*