
Mpendwa Rafiki,
Watu wengi wanapambana na hali ngumu ya kifedha, hela inakatika ghafla,
…. matumizi hayaeleweki, akiba hakuna, na mwisho wa mwezi unakuwa mgumu kuliko mwanzo.
Na labda hata wewe, unajiambia kila siku, Nahitaji kuongeza kipato changu, lakini sina pa kuanzia.
Inachosha kuona pesa zako zinapita mikononi kama maji.
Unaamka unayo, jioni haieleweki imeenda wapi.
Ulikuwa na ndoto za kuanzisha biashara, kuwekeza, au hata tu kuwa na uhuru wa kifedha… lakini mpaka sasa bado upo hapo hapo.
Ni kama maisha yamekuzungusha mduara wa matumizi, madeni, na kusubiri miujiza ya mshahara mkubwa au msaada kutoka kwa watu.
Unakumbuka mara ya mwisho uliweka akiba lini?
Tatizo kubwa sio mshahara mdogo.
Sio hata hali ya uchumi.
Tatizo ni maarifa ya fedha, jinsi ya kusimamia kipato chako, kujifunza kuweka akiba, kuwekeza kidogo, na kuongeza kipato bila kusubiri miujiza.
Watu wengi hufikiri wanahitaji kuwa na mamilioni ili waanze kujenga utajiri.
Hilo ni kosa kubwa.
Kilicho muhimu ni kuwa na mpango na maarifa sahihi, hata kama una kipato kidogo.
Hapa ndipo UTAJIRI.TZ inapokuja kwa nguvu!
Ni Aplikesheni ya kibabe ya fedha inayokuwezesha:
Kufuatilia mapato na matumizi yako
Kuweka akiba hata bila intaneti.
Na pia ndani ya pakeji hii ya Utajiri Tz
Unapata vitabu vitano (5) vya fedha vitakavyokusaidia kukuza kipato chako.
Utapata pia kozi mbili kali:
1. NGUVU YA BUKU – jinsi ya kujenga utajiri kuanzia buku moja
2. MTAALA WA UTAJIRI – mwongozo wa hatua kwa hatua wa kutoka sifuri hadi utajiri
Vyote hivi leo unavipata kwa Tsh 99,000 tu badala ya Tsh 300,000.
Unaokoa Tsh 210,000.
Na unapata Aplikesheni Ya Utajiri kwa mwaka mzima- BURE,
Hii haitegemei intaneti, inafanya kazi muda wote, popote ulipo.
Nakumbuka jamaa yangu Mleta, alikuwa anahangaika kila mwezi.
Akiba hakuwa nayo, kila hela ilivyokuja iliondoka kama ilivyokuja.
Nilimwambia ajaribu UTAJIRI.TZ- Package
Akajifunza kupitia kozi ya NGUVU YA BUKU, akaanza kuweka buku kila siku, akapitia vitabu, akaanza kufuatilia matumizi kwenye Aplikesheni Ya Utajiri.
Leo ana biashara ndogo ya mtandaoni, hana madeni, na ananiambia:
Kaka, app hii imenifungua macho. Nilikuwa najitumia tu pesa kama mjinga. Sasa najua kila buku yangu inaenda wapi.
Sasa ni zamu yako.
Usikubali tena hela ipite kama upepo.
Pata UTAJIRI PAKEJI leo kwa Tsh 99,000 tu.
Simamia fedha zako kwa urahisi, jifunze, na jiongeze.
Kwa mfano ukibonyeza hapa 👇 utaweza kupata pakeji yako ya Utajiri.
Ni hapa 👉https://wa.link/bcm3hr
Kumbuka: Ukitunza kidogo kwa nidhamu, kesho hutakuwa kwenye kundi la wanaolalamika, utakuwa unawashauri.
Karibu.
0756694090.
Imeandikwa Na Bwana Ramadhan Amir