
Kaka/Dada…
Eti unasema huna muda?
Kweli kabisa?
Ama ndo ile unasema bado kidogo nianze, nikipata nafasi nitajijenga,
“sina muda saa hizi bro”?
Hebu ngoja tukate mzizi wa fitina.
Tatizo sio muda, tatizo ni kipaumbele.
Unayo dakika 10 za kuscroll TikTok.
Unayo saa nzima ya kuangalia episode 3 za Netflix.
Unayo muda wa kukaa vijiweni, kuangalia status, na kulalamika.
Lakini huna muda wa kujifunza kitu kitakachokutoa hapo ulipo?
Huna muda wa kusoma kitabu kitakachokuamsha?
Huna muda wa kuji-invest kwenye maisha yako?
Basi ujue, hiyo ni hadithi unajisemea ili kuficha uvivu.
Hii Tabia Inakuchelewesha, Inakurudisha Nyuma.
Na Utailipia Kwa Majuto.
Hiyo kauli yako ya sina muda imekufanya upoteze nafasi nyingi sana.
Umepoteza maarifa.
Umepoteza hela ambazo ungeweza tengeneza.
Umepoteza Koneksheni.
Na mbaya zaidi….
Unajizoeza kuwa mtu wa kuhairisha maisha.
Kila siku unapokimbizana na vitu vya haraka haraka (urgent), unaacha vile vya muhimu (important).
Unaishi ukizima moto kila leo, badala ya kujenga mfumo wa kesho.
Na ukifikiria vizuri…
Ni nani amewahi kutoboa kwa kusema sina muda?
Hawatoboi.
Hebu Nikufunze Siri Ya Mafanikio Ambayo Haujui.
Wale unaowaona wamefanikiwa hawakuwa na muda mwingi.
Walitengeneza muda.
Waliamua kitu kimoja:
”Kama ninaweza kupata muda wa kitu chochote , basi lazima nitafute muda wa kutengeneza maisha bora.”
Umezoea kuamini kwamba baadaye nitakuwa free, lakini ukweli ni huu:
Hutakuwa huru mpaka uanze kupanga muda wako leo.
Hiyo ndoto yako haitatimia kwa kutegemea muda wa ziada.
Inahitaji UAMUZI wa kupanga muda kwa akili.
Kitabu Cha Muda Upo Ndio Silaha Ya Kuwaweka Kina Sina Muda Sawa.
Kitabu hiki sio cha kukusomea hadithi za kufurahisha moyo.
Ni kitabu cha kukushikisha adabu.
Ni mwanga kwa mtu aliyepotea kwenye pilikapilika.
Ni msaada kwa mtu aliyetingwa na maisha.
Lakini bado ana njaa ya kufika mbali.
Ukikifunua tu, unajisikia aibu ya kusema sina muda.
Kinafundisha jinsi ya kutawala siku zako.
Kinafunua wizi unaofanywa na simu yako, TV, na marafiki wa kupoteza muda.
Na kikubwa zaidi… kinafungua mlango wa maisha yako mapya.
Nataka Nikusimulie Kaka Yangu Aliyebadilika Baada Ya Kuacha Visingizio.
Alikuwa anasema niko bize sana, kila siku.
Kazi, mihangaiko, watu, simu, kiukweli alikuwa kama robot.
Siku moja nikamwambia, soma tu ukurasa 5 wa kitabu hiki cha Muda Upo, kama hakitakubadilisha, nirejeshee.
Hiyo siku hakuamka hadi amemaliza kurasa 50.
Wiki iliyofuata alianza kupanga siku zake.
Leo anafanya kazi, anaendesha biashara yake, na bado anasoma vitabu viwili kwa mwezi.
Ananiambia, kile kitabu kilinitoa kwenye usingizi wa kujidanganya.
Na Wewe Leo Una Nafasi Ya Kubadili Hali Yako.
Sema basi na visingizio.
Acha kusema nitafanya kesho.
Kesho haipo kwenye kalenda yako kama leo hauna mpango nayo.
Pata Kitabu Cha Muda Upo sasa hivi, kabla dakika hii haijapotea.
Bonyeza hapa 👇
https://wa.link/g1wprc
Ujitoe kwenye kundi la niko bize wanaoshindwa kupiga hatua.
Muda Upo, Ila Kama Haujautumia, Umepoteza Maisha.
Karibu.
0756694090.
Mkufunzi Ramadhan