
Kakaa/Dadaa Yangu….
Unapambana, eeh?
Unajituma.
Lakini bado hauoni matokeo?
Kuna wakati unajiuliza:
Hivi shida iko wapi?
Unaamka mapema, unajitahidi, lakini mwisho wa mwezi bado unakopa.
Unalipwa mshahara.
Lakini baada ya siku tatu tu, unakuwa huna hata mia.
Kama mtu aliyekula mshahara kwa ndoto.
Unajituma kama punda…
Lakini kipato chako ni kama tone la maji baharini.
Linatoweka kabla hujalitumia.
Inakera, sio?
Sasa ngoja nikuambie ukweli mchungu.
Tatizo sio kazi yako.
Tatizo sio kwamba huna mtaji.
Na wala sio kwamba huna bahati…
Tatizo ni kwamba HUJUI KUUZA!
Ndio hiyo!
Hujui kuuza ndoto zako.
Hujui kuuza bidhaa zako.
Hujui hata kujiuza wewe mwenyewe kama mtu wa thamani.
Ukiwa hujui kuuza, utabaki kuwa mtumwa wa mishahara.
Na mishahara huwa haikutoshi huwa inakupiga marufuku na ndoto zako kubwa.
Sasa ngoja nikushtue tena…
Uuzaji sio kubeba bidhaa na kuzunguka mtaani.
Hapana!
Uuzaji ni kutumia mdomo wako vizuri.
Ni kutumia simu yako vizuri.
Ni kuandika sentensi moja tu ambayo inamfanya mtu aseme:
”Nataka hii kitu sasa hivi!”
Kama hujui kuuza, ni sawa na mtu asiyejua kuogelea kwenye bahari ya pesa.
Utazama tu.
Lakini kama ukijifunza kuuza…
Weeh! Maisha yanabadilika chap chap.
Sasa sikiliza hii stori ya ukweli…
Kuna binti mmoja, anayeitwa Mishi.
Alikuwa anauza viatu vya mitumba.
Kibanda chake kilikuwa kona ya soko, watu walikuwa hawapiti sana.
Alikuwa analala na stock.
Siku moja akajifunza namna ya kuuza kupitia WhatsApp.
Akajua namna ya kuandika status tamu zinazochangamsha.
Akaanza kujua maneno ya kugusa hisia.
Leo hii, Mishi ana group tatu za WhatsApp za wateja.
Kila anachopost kinanunuliwa.
Na ajabu, stock inaisha hata kabla hajafungua duka.
Aliniambia hivi:
Siku hizi siuzi viatu, nauza hisia za watu kutamani viatu vyangu!
Na wewe unaweza.
Ndiyo, wewe!
Huna haja ya kusubiri mwaka.
Kwanza anza kwa kujifunza kuuza.
Jifunze kutumia maneno kama silaha.
Jifunze kuandika sentensi za kuuza bidhaa, huduma, hata ndoto zako.
Kama hujui kuuza utaendelea kuwa mtazamaji wa maisha ya wengine.
Ukiwa na simu ya laki mbili mkononi, lakini haina maana.
Ukiwa na akili ya darasani, lakini haina matumizi.
Na hiyo ni hatari kuliko ugonjwa wa ukoma.
Sasa swali ni moja tu…
Unataka kuendelea kubaki hapo ulipo?
Au uko tayari kujifunza ujuzi wa pesa,
Ujuzi wa kuuza.
Ujuzi wa kuongeza kipato?
Kama jibu ni ndiyo…
Karibu kwenye dunia ya wauzaji wakali wanaotokea mitaani.
Wanaouza bila duka.
Wanaopiga hela bila mtaji mkubwa.
Wanaouza kwa status, caption, voice note moja tu.
Karibu kwenye ligi ya watu wanaotengeneza pesa kwa kutumia maneno.
Kama Unataka Kuongeza Kipato Chako, Basi Bonyeza Hapa 👇
*https://wa.link/cc2rgj*
Karibu.
0756694090.
Imeandikwa Na Mkufunzi Ramadhan Amir.