
Rafiki Yangu,
Ngoja nikuulize swali rahisi…
Unajua kuna uwezekano kila siku unampoteza mteja mmoja au zaidi bila hata wewe kujua?
Na sio kwa sababu hujaweka bei nzuri,
Sio kwa sababu hauna bidhaa bora,
Wala sio kwa sababu hupost vya kutosha,
Bali ni kwa sababu hujui siri ya mfumo wa kupata wateja kila siku, bila kutegemea bahati.
Hii kitu inauma ukifikiria,
Lakini ndio ukweli mtupu ambao wafanyabiashara wengi hawajui.
Kila siku kuna mtu angetaka kununua kwako,
Kuna mtu alikutana na tangazo lako,
Kuna mtu alipenda unachouza,
Lakini aliendelea mbele maana hakusukumwa kuhitaji.
Hiyo ndiyo hasara ya kimya inayowagharimu wengi bila kujua.
Tatizo kubwa sio hakuna wateja
Tatizo ni hawageuzwi kuwa wateja
Wengi mnapata viewers,
Mnapata likes,
Mnapata watu wanaosema Hii bidhaa ni nzuri*,
Lakini hawafiki hatua ya kuulizia, kuamua, na kununua.
Kwa mfano…
Umekutana na mtu mwenye kiu, lakini humpi glasi ya maji unamwonyesha tu maji.
Biashara ya leo sio ya kuonekana tu,
Ni ya kumvusha mtu hatua ya kufanya maamuzi.
Unahitaji mfumo unaongoza mteja hatua kwa hatua
Kuanzia kukutana na taarifa yako,
Kujua unachouza,
Kuamini thamani yako,
Mpaka kuamua kuchukua hatua leo, sio kesho.
Hebu fikiria hii kwa roho yako yote…
Leo kuna mtu ameona post yako.
Akapita tu.
Kesho mwingine ameona story yako.
Akapita tu.
Kesho kutwa mwingine ameona video yako, akatabasamu,
Lakini hakuuliza chochote.
Sasa ukijumlisha wiki nzima…
Umeacha wateja kama 7
Bila kujua.
Mwezi mzima…
Umeacha wateja 30+ bila kujua.
Mwaka mzima…
Umeacha wateja 360+ bila kujua.
Jiulize swali la ukweli:
Kama mteja mmoja angekuachia faida ya 10,000 tu, ungekuwa na shilingi ngapi mwaka mzima?
10,000 × 360 = 3,600,000
Na hiyo ni kwa mwaka.
Sasa fikiria kama ticket yako ni 30,000?
Au 50,000?
Au 150,000?
Unaona hasara ya kimya?
Unaona hatari ya kutofahamu siri ya mfumo?
Wacha niweke wazi:
Kupost sana siyo mfumo.
Kuforce tags, likes na shares siyo mfumo.
Kuomba watu wa Instagram wakufuate siyo mfumo.
Kuchanganya motishai na biashara siyo mfumo.
Wateja hawaji kwa maneno mazuri tu,
Wanakuja kwa safari ya maamuzi.
Na safari hiyo haiwezi kuendeshwa kwa bahati.
Biashara yoyote inayotegemea bahati inaishia kwenye msongo,
Lakini biashara inayotumia mfumo inaishia kwenye uthabiti na matokeo.
Suluhisho ni moja tu…
Jenga mfumo wa kuwavuta, kuwashawishi, kuwaamini na kuwageuza wateja *leo, sio kesho.
Mfumo unahitaji mambo manne:
Kuvuta Umakini (Attention Triggering Content)
Kwa post, caption, reels, stories, hook inayogusa problem, siyo tu kuonyesha bidhaa.
2. Kufungua mazungumzo (Lead Entry)
Usiache mtu ahangaike mpe njia rahisi ya kuingia inbox, WhatsApp, landing page, au DM.
3. Kujenga imani (Trust + Proof)
Tumia:
— testimonies
— screenshots
— before & after
— stories za matokeo
Kufunga mauzo kwa mpango (Closing System)
Si kwa kubembeleza, bali kwa kuuliza maswali sahihi.
Kuna rafiki yangu mmoja anaitwa Musa.
Musa alikuwa na biashara ya mitandaoni.
Alikuwa akipost kila siku, akipata likes nyingi, views nyingi, comments,
….lakini mauzo? Zero.
Aliniuliza:
Rama, nimechoka. Napost sana, likes zipo, lakini hakuna anayenunua.
Nikamwambia:
Likes sio wateja, Musa. Lakini naweza kukuonyesha mfumo unaowageuza wateja kweli, kila siku.
Alianza kutumia mfumo huu hatua kwa hatua.
Siku ya kwanza tu watu 5 waliingiza inbox.
Wanne walinunua.
Wiki moja baadaye, biashara yake ilikuwa imara, wateja waliendelea kuingia kila siku, na mauzo yalikua kwa kasi.
Sasa Musa hana stress ya bahati.
Anajua kila post, story au ad inafanyiwa kazi na mfumo, si bahati.
Hii ndiyo siri ya NUNUA WATEJA.
Ukiachana na bahati, ukafuata mfumo huu:
Kila mteja anayekuona una njia ya kumvusha hatua kwa hatua.
Kila lead inayoingizwa inbox ina uwezekano mkubwa wa kuwa mteja.
Mauzo yanakuwa ya uhakika, sio msukumo wa hisia au bahati.
Kitabu Cha NUNUA WATEJA – Pata Wateja Wapya Kila Siku Kinafundisha Hatua Kwa Hatua.
Unaweza kuanza leo.
Usisubiri kesho, kwani kila siku unayochelewa, kuna mteja anakupita.
Anzia hapa 👇
https://wa.link/9p4izz
Karibu.
0756694090.
PS: Kila Dakika Unayochelewa Ni Mteja Anaepita, Tumia Mfumo Huu Sasa, Na Geuza Kila Like Kuwa Pesa Halisi.
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,
Ramadhan Amir,
Sales & Lead Generation Specialist – TSA.