
Rafiki Yangu,
Unaona pesa zinaingia.
Unaona wateja wananunua.
Unaona biashara iko busy.
Lakini… faida iko wapi?
Mauzo mengi hayamaanishi faida nyingi. Ukichanganya mauzo, madeni, matumizi na malipo, unaweza kudhani biashara inakua kumbe unazunguka palepale.
Mfano Mfanyabiashara mmoja alianza kutumia mfumo wa Mauzo CRM & Accounting. Akaanza kuona namba zake kwa uwazi.
Usiamini hisia pekee. Tumia mfumo wa Mauzo CRM & Accounting
Unaukuta hapa
https://wa.link/289wdg
Karibu.
0756694090