A genius is a person who shoots at something no one else can see – and hits it.

Mtu mwenye akili nyingi ni yule ambaye analenga shabaha isiyoonekana na mtu mwingine ila yeye na akaipatia.

Usiogope kutimiza ndoto zako hata kama watu wanakuambia haziwezekani.

TUPO PAMOJA.