Binadamu huzaliwa na mifupa 300, lakini mpaka anapokuwa mtu mzima anakuwa amebaki na mifupa 206 tu.
Kinachosababisha mifupa ipungue ni kwamba baadhi ya mifupa huungana na kutengeneza mfupa mmoja.
Pia ndani ya sikio lako kuna mifupa midogo sana kama ulikuwa hujui pia.
Nashukuru kocha kwa Je Wajua hII , je ni baada ya umri gani kamili ambao hiyo mifupa 206 inakua ndiyo imebaki hii ndio inathibitsha ile kauli kama ukiwa mtu mzima uende kwa makini mfupa hauungiki
LikeLike