Adui Yako Anaanzia Hapo Ulipo Na Anaanza hivi.

Adui yako ni wewe mwenyewe na anaanza na hofu zako…
Una hofu ngapi leo asubuhi?
Una hofu kama utakula leo mchana na jioni?
Una hofu kama mshahara utaingia kabla ya krismas?
Una hofu kama krismasi yako itakuwa nzuri?
Una hofu kama baraza la mawaziri litabadilishwa au halitabadilishwa?
Una hofu kama serikali itafanya maisha kuwa rahisi zaidi?
Una hofu kama 2015 chama unachokipenda kitashika madaraka?
Una hofu kama mpenzi/mwenza wako atakusaliti/atakuacha?
Una hofu kama hofu zako zitaosha??
Karibu hofu zote hapo juu hazina msaada mkubwa kwako au huwezi kuziathiri. Na kuendelea kuziendekeza ndio zinakuzuia ushindwe kufikiria mambo makubwa yatakayokuwezesha kufikia mafanikio makubwa.
Yaani kichwa kimoja chenye hofu zote hizo kitapata wapi nafasi ya kuweka jambo la muhimu?
Hofu hizi ndio adui mkubwa wa mafanikio kwako…
Usizipeleke hofu hizi 2015….

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: