Rafiki yangu mpendwa,

Kwa muda sasa nimekuwa nakupa taarifa za zawadi tatu muhimu sana kwa mafanikio yako ambazo nimekuandalia. Leo (31/07/2019) ndiyo tarehe ya mwisho ya kupata zawadi hizo, hivyo kama hujazipata chukua hatua leo kwa ajili ya mafanikio yako.

Zawadi hizo tatu ni kama ifuatavyo;

Moja; kupata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kwa kulipia tsh 15,000/= badala ya tsh 20,000/=. Kitabu hiki kina maarifa yanayoweza kukuondoa kwenye umasikini na madeni kama utayafanyia kazi.

Mbili; kupata kitabu cha TANO ZA MAJUMA 50 YA MWAKA kwa kulipa tsh 40,000/= badala ya tsh 50,000/=. Kitabu hiki ni mwongozo mkuu wa maisha yako ya mafanikio, ni kitabu cha kusoma kila siku kwa mwaka mzima.

Tatu; nafasi ya kushiriki uzinduzi wa vitabu hivyo viwili ambao utafanyika kwa kukutana ana kwa ana. Uzinduzi utafanyika jumamosi tarehe 03/08/2019 kwenye ukumbi wa hotel ya Golden Park iliyopo Sinza Dar es salaam. Ili kushiriki uzinduzi huu unapaswa kulipa ada ya tsh 10,000/=.

Kwenye semina hii ya uzinduzi wa vitabu, tutajifunza jinsi vitabu vilivyo na nguvu kubwa ya kuyabadili maisha yako na jinsi unavyoweza kusoma vitabu vingi na kuelewa hata kama huna muda.

TANGAZO LA UZINDUZI VITABU (2)

HATUA ZA WEWE KUCHUKUA LEO.

Rafiki, leo sitakupa maneno mengi, bali hatua za kuchukua ambazo zina manufaa makubwa sana kwako.

Chukua hatua hizi mbili leo hii ili unufaike sana na maarifa haya bora sana kwako;

  1. Lipia tsh 50,000/= na utapata vitabu vyote viwili kwa bei ya zawadi, hivyo utaokoa tsh 20,000/=. Kama upo dar utaletewa vitabu ulipo, kama upo mkoani utatumiwa kwa basi, na hapo utaongeza nauli tsh 10,000/=
  2. Lipia tsh 10,000/= kwa ajili ya kushiriki semina ya uzinduzi wa vitabu hivi viwili. Lipa leo hii ada hiyo ya ushiriki na tuma majina yako pamoja na namba ya simu na utajihakikishia nafasi ya kushiriki.

Rafiki, unayo leo tu, leo tarehe 31/07/2019 kulipia ili kunufaika na zawadi hizo tatu, usiendelee kujichelewesha na ukakosa zawadi hilo.

Namba za kufanya malipo ili kupata zawadi hizi ni 0717 396 253 au 0755 953 887 majina kwenye namba hizo ni AMANI MAKIRITA.

Karibu sana upate zawadi hizo tatu, maisha yako hayatabaki yalivyo sasa kama utajipatia zawadi hizo na kuzifanyia kazi.

MUHIMU; Vitabu hivyo viwili vina nguvu kubwa ya kubadili maisha yako, usikose kuvisoma. Lipia elfu 50 uvipate vyote viwili na uokoe elfu 20.

MUHIMU ZAIDI; Kwenye semina ya uzinduzi utajifunza namna sahihi ya kunufaika na usomaji wa vitabu, kama umekuwa huelewi namna gani vitabu vinaweza kukutoa ulipo sasa na kupiga hatua, usikose semina hii. Lipia elfu 10 leo upate nafasi ya kushiriki.

Chukua hatua leo hii ili ujipatie zawadi hizo tatu.

Karibu sana.

Makala Hii Imeandikwa Na Dr. Makirita Amani Ambaye Ni Daktari Wa Binadamu, Kocha Wa Mafanikio, Mwandishi Na Mjasiriamali.

WhatsApp Image 2019-07-13 at 18.40.49WhatsApp Image 2019-07-13 at 19.06.36