
Kila Siku Ukiona Unakosa Pesa Jua Kabisa Kuna Kitu Kimoja Hakipo Sawa Kati Ya Hivi Vi3.
Rafiki Yangu,
Kipengele kigumu zaidi kuhusu pesa sio kutengeneza pesa kama jinsi ulivyoaminishwa.
Ukweli ni kwamba ugumu wa pesa upo katika hivi vitu vitatu (3) hapa.
1. Kutumia Pesa ( Spending Money).
2. Kuweka Akiba (Saving Money).
3. Kukuza /Kuongeza Pesa (Growing Money).
Na habari njema ni kwamba hivo vitu vitatu (3) hapo juu utavipata kwa undani zaidi kwenye kitabu hiki cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA,
…hivyo ukiweza kuviweka sawa na kuviishi kila siku basi hutoweza kukosa pesa kabisa.
Kukipata kitabu hiki bonyeza hapa *wa.me/255678977007* au piga simu *0752977170*.
Ni kwa uwekezaji wa *Tzs 19,999*Tu! Badala Ya (50k) utaletewa au utatumiwa popote ulipo.
Karibu Sana.
Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,
Bwana Amiri Ramadhani,
|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|