Rafiki Yangu,

Huenda si ukosefu wa wateja. Huenda ni bei, gharama, mfumo wa mauzo, usimamizi wa fedha au maamuzi unayofanya kila siku.

Tatizo ni kwamba huwezi kurekebisha kitu usichokiona.

Pata ushauri wa kibiashara kutoka AMKA CONSULTANT ili kuchambua biashara yako, kugundua mianya na kuweka mkakati wa kuongeza faida.

Unaupata hapa
https://wa.link/kv4gfw

Usibahatishe tena. Jua kinachokuzuia.

Karibu.
0756694090