
Rafiki Yangu,
Una wafanyakazi, unawalipa mishahara, lakini bado unahisi biashara inakutegemea wewe kufanya karibu kila kitu?
Huenda tatizo si idadi ya wafanyakazi, bali kukosekana kwa mafunzo, utaratibu wa kazi na mfumo wa kupima matokeo.
AMKA CONSULTANT inalenga kukusaidia kuimarisha uwezo wa timu yako, kuboresha mchakato wa mauzo na kuweka mifumo inayosaidia kila mtu kuelewa wajibu wake.
Badala ya kuendelea kusimamia kila jambo mwenyewe, anza kujenga timu ya ushindi inayofanya kazi kwa mwelekeo unaoeleweka.
Kupata package hii unaweza kuanzia hapa
https://wa.link/w23noh
Karibu.
0756694090