ONGEA NA COACH; Usifanye Uwekezaji Kama Huna Muda Na Utayari Wa Kujifunza, Utapoteza.

Habari rafiki? Katika uwekezaji watu wengi wamekuwa wanafanya kosa moja kubwa mno. Kosa hili ni kufanya maamuzi ya uwekezaji kwa maneno ya watu wengine, watu ambao hata hawana uelewa mkubwa kwenye uwekezaji. Watu wamekuwa wanawekeza kwa mazoea na kufuata wengine wanasema nini. Na hili limewapelekea kufanya uwekezaji ambao siyo mzuri kwao. Watu wamekuwa wanabeba ushauri... Continue Reading →

Zifahamu Faida Pekee Za Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo Ambazo Ni Tofauti Na Uwekezaji Mwingine.

Uwekezaji wa rasilimali ardhi na majengo umekuwa kivutio kikubwa kwa maelfu ya watanzania wa leo tofauti na wakati uliopita. Maelfu ya watanzania na wageni mbalimbali wanaendelea kuboresha maisha yao kupitia uwekezaji wa rasilimali ardhi na majengo ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa kivutio kwa wengi kutokana na kuwa na sifa za kipekee katika uboreshaji na uendeshaji... Continue Reading →

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑