ZOEZI ZURI LA KUFANYA KILA SIKU

Nataka kukushirikisha zoezi rahisi ambalo kama utaweza kulifanya kila siku litakusaidia na kukuwezesha kufikia mafanikio uliyojiwekea. Hili sio zoezi la viungo bali zoezi la kulisha ubongo. Ubongo unalishwa nini? Chakula cha ubongo ni mawazo au chochote unachojifunza. Ushauri wangu hapa ni wewe kuamka nusu saa kabla ya muda ambao huwa unaamka kila siku na utumie hiyo nusu saa kusoma kitu ambacho kitakuelimisha, au kuongeza uelewa. kinaweza kuwa kinahusiana na kazi ama chochote unachojihusisha nacho ama malengo yako ya baadae. kwa nusu saa tu kila siku utajifunza vitu vingi sana ambavyo hukuwahi kuvijua. Hakuna utakachopoteza kwa kuwahi kuamka nusu saa kabla ya muda uliozoea kuamka. Ni ngumu kwa sababu usingizi ni mtamu ila jitahidi kufanya hivyo.

 Kama huna cha kuanzia kusoma nitumia email kwenye amakirita@gmail.com na mimi nitakutumia kijitabu kidogo ambacho unaweza kuanza nacho na baadae ukapata mwanga.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: