je wewe ni blogger na unasumbuka wakati wa kuandika post hasa unapotaka kuweka picha na video? kama ndiyo kuna program ya windows ambayo itaurahisishia sana kazi yako. program hiyo inaitwa WINDOWS LIVE WRITER. kwa program hii unaandika post kwa kutumia word processor maalum kwa blogs(blogger, wordpress na nyinginezo). unaweza kuweka link, picture na video kutoka online ama kutoka kwenye kompyuta yako. kuna vingine vingi utavipata utapoanza kutumia prgram hii.
unaweza kuipata program hii kwa kuitafuta kwenye kompyuta yako kama umeinstall windows live. kama hujainstall windws live unaweza kudownload na kisha kuinstall kwa kubonyeza HAPA.
usiache kushare na wenzako.

Leave a Reply