Watch your thoughts; they become words.

Watch your words; they become actions.

Watch your actions; they become habits.

Watch your habits; they become character.

Watch your character; it becomes your destiny.

Angalia mawazo yako maana yanzaa maneno yako.

Angalalia maneno yako maana yanazaa matendo yako.

Angalia matendo yako maana yanazaa tabia zako.

Angalia tabia zako maana zinazaa haiba yako.

Angalia haiba yako maana ndio inakuwa hatima yako.

Nakutakia kila la kheri,

TUPO PAMOJA.