Mambo 21 muhimu ya kiufanya kila siku ili kuwa na maisha yenye mafanikio.

HABARI ZA LEO RAFIKI?
Naomba nikushirikishe Vitu 21 rahisi vya kufanya kila siku ili kuwa na maisha yenye furaha na mafanikio.
i. Lala masaa nane kwa siku.
ii. Kula milo miwili kwa siku.
iii. Usiangalie TV
iv. Usile vyakula vya haraka
v. Usilaumu wala kulalamika
vi. Usisengenye, usishiriki majungu na umbea.
vii. Onesha shukrani kwa marafiki.
viii. Andika orodha ya mawazo bora kila siku.
ix. Iambie nafsi yako unapoamka kwamba utakwenda kusaidia na kuokoa maisha ya watu kwa siku hiyo.
x. Andika mambo unayopanga kufanya kwa siku.
xi. Mshangaze mtu.
xii. Fikiria watu kumi ambao unashukuru kuwa nao kwenye maisha yako.
xiii. Msamehe mtu.
xiv. Panda ngazi badala ya lifti.
xv. Usiseme ndio wakati unafikiria kusema hapana.
xvi. Mwambie mtu kila siku kwamba unampenda.
xvii. Soma sura moja ya kitabu cha mtu anayekuhamasisha.
xviii. Weka mipango ya kutumia muda na rafiki yako.
xix. Pumua kwa kina na taratibu.
xx. Jifunze kitu kipya kila siku, pata walau saa moja ya kujisomea.
xxi. Fikiria watu wawili unaoweza kuwakutanisha na wakasaidiana na kushirikiana.
Kutoka kwa James Altucher – Choose Yourself.
Tembelea http://www.amkaconsultants.blogspot.com kujifunza zaidi.
TUPO PAMOJA, TUTAKUTANA KILELENI.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: