Siri Kubwa Unayotakiwa Kujua Kwenye Mahusiano Ya Kibiashara.

Mahusiano unayojenga na watu kibiashara yanaweza kuwa ya aina mbili;
1. Uhusiano ambao kila mmoja anafaidika(win – win)
2. Uhusiano ambao mmoja ananufaika zaidi ya mwingine(win – lose)
Kwa bahati mbaya sana kwenye mazingira yetu mahusiano yaliyotawala ni ya aina ya pili.
Watu wengi watakaotaka kujenga mahusiano ya kibiashara na wewe watataka kiunufaika zaidi yako.
Kuwa mjanja, angalia mbali.
Ukiona uhusiano wa aina hii kimbia, hautakufikisha mbali.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: