Umepokea Ujumbe Na Email Ya Semina Ya MIMI NI MSHINDI?

Habari za wakati huu rafiki?
Nishukuru sana kwa wengi ambao mmejiunga na semina ya MIMI NI MSHINDI. Nawakaribisha sana na nina shauku kubwa sana juu ya semina hii. Nasubiri kwa hamu siku ya jumatatu ambapo tutaanza kushirikishana masomo ya semina hii. Nina hakika yatatujenga kwa kiasi kikubwa sana.
Makala hii ni fupi sana na lengo ni kutaka kujua kama umepokea ujumbe wa simu uliotumwa na kama umepokea email ya kukukaribisha kwenye semina pia.
Ujumbe uliotumwa leo ulitumwa kwa watu wote ambao walijiunga kwenye mafunzo haya, hivyo kuna wachache ambao bado walikuwa hawajakamilisha malipo yao. Kama wewe ni mmoja wa hawa tafadhali kamilisha hivyo mapema leo. Mpaka siku ya leo kuisha wale ambao walijaza fomu ila hawajakamilisha malipo wataondolewa kwenye orodha ya wapokeaji wa mafunzo ya semina hii.

 
Mambo muhimu ya kufanya leo;
1. Kama ulijaza fomu na hujalipia, lipia leo mapema, namba za kulipia ni 0717396253 au 0755953887
2. Kama umelipia ila hukujaza fomu, jaza fomu yako sasa hivi. BONYEZA MAANDISHI HAYA KUJAZA FOMU. Ni muhimu sana kujaza fomu ili upokee mafunzo haya.
3. Kama mpaka kufikia leo hujajiunga wala kutuma malipo, unaweza kufanya hivyo ila mapema sana leo. mwisho wa kujiunga ulikuwa jana ila kwa sababu kuna wachache hawajakamilisha kujiunga, unaweza kutumia nafasi hii na wewe pia.
4. Kama unatumia wasap na hujiangia kwenye kundi la semina bado, save namba yangu ya wasap kwenye simu yako, 0717396253 kisha nitumie ujumbe kwenye wasap wenye jina na email uliyojiunga nayo.
5. Kama umejiunga, umejaza fomu ila hujapokea ujumbe wa simu, taarifa zako, hasa namba ya simu hukuiweka vizuri. Nenda kwenye email uliyopokea baada ya kujiunga na mwisho wa emal kuna sehemu imeandikwa update your preferences na weka taarifa zako vizuri, hasa namba ya simu.
6. Kama unapata changamoto yoyote, nipigie simu au andika ujumbe kwenye namba 0717396253 au 0755963887.
Nitumie nafasi hii kuwashukuru sana wasomaji wote na nawaahidi tutaendelea kuwa pamoja, tutaendelea kushirikishana maarifa bora sana ili kuyafanya maisha yako kuwa bora na ufikie mafanikio makubwa.
Nakutakia kila la kheri katika kufanyia kazi haya yote unayojifunza.
Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani.
makirita@kisimachamaarifa.co.tz
AMKA CONSULTANTS

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

Create a website or blog at WordPress.com

Up ↑

%d bloggers like this: