Habari rafiki?
Jana ilikuwa ndiyo siku ya mwisho ya kujiunga na semina ya UTOAJI WA HUDUMA BORA KWA WATEJA.
Kama ulituma fedha ya ada ya kujiunga na semina hii unapaswa kuwa umejaza fomu kwa kuweka taarifa zako ili kupokea mafunzo kwenye email na pia unapaswa kuwa kwenye kundi la wasap ambapo utapokea mafunzo na mijadala pia.
Nakuandikia hapa ili kuhakikisha umepeta vitu vyote hivyo viwili. Hivyo nenda kwenye email yako na angalia kama umepata ujumbe ulioandikwa KARIBU KWENYE SEMINA YA UTOAJI WA HUDUMA BORA KWA WATEJA. Kama unatumia gmail angalia kwenye folder zote za email ulizonazo, yaani kwenye updates na promotions pia. Pia unaweza kuangalia kwenye spam kuhakikisha kwamba ujumbe haujapokea.
Kama hujapokea ujumbe huo kwa njia ya email basi hukujaza fomu. Na unaweza kujaza fomu hiyo sasa hivi kwa kubonyeza maandishi haya. Kama unapata shida kwenye kujaza fomu nitumie ujumbe wenye majina yako, email na namba ya siku kwenye simu 0717396253 kisha nitakuandikisha. Fanya hivyo mapema.
Pia kama bado hujaingia kwenye kundi la wasap, nitumie ujumbe kwenye wasap wenye majina yako kamili. Tuma ujumbe huo kwa njia ya wasap kwenye namba 0717396253, kama namba hiyo huna save kwanza kisha tuma ujumbe.
Karibu sana kwenye semina yetu nzuri ya HUDUMA KWA WATEJA.
NAFASI YA MWISHO KABISA YA USHIRIKI.
Kama umepokea ujumbe huu na bado hujalipa ada ya semina napenda kukupa nafasi ya mwisho rafiki kama unaweza kulipa mapema hii ili uendelee kubaki nasi kwenye semina hii. Kama utashindwa hatutaweza kuwa pamoja kwenye semina hii nzuri. Fanya malipo yako mapema leo hii ili tuwe pamoja kwenye semina hii. Semina ikishaanza hutaweza tena kujiunga na mafunzo haya.
Nakukaribisha kwenye semina hii, ambapo nina uhakika utaondoka na maarifa bora sana ambayo yatabadili kabisa kazi au biashara yako.
Rafiki na Kocha wako,
Makirita Amani,
makirita@kisimachamaarifa.co.tz