Habari za leo rafiki yangu?

Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha ya kwambe ile semina yetu ya kipekee ya kuuanza mwaka 2019, semina ya TABIA ZA KITAJIRI imeanza rasmi leo.

Semina inaendeshwa kwa kupitia mtandao wa wasap, hivyo watu wanashiriki wakiwa popote walipo.

Semina imeanza leo kwa utangulizi muhimu sana unaokwenda kutujengea msingi imara wa utajiri na mafanikio makubwa.

elfu moja

Msingi huu una vitu muhimu sana ambavyo kila mtu anapaswa kuvijua kuhusu utajiri na mafanikio;

Moja; msingi una namba muhimu kwenye utajiri, namba hizo ni 99/1, 95/5 na 90/10. Maana ya namba hizi na namba unayopaswa kuifanyia kazi imeelezwa kwenye somo la utangulizi la semina.

Mbili; vitu vikubwa viwili vinavyowatofautisha matajiri na masikini. Kinachowatofautisha matajiri na masikini siyo bahati, eneo, kazi, biashara au akili na vipaji. Bali tofauti ipo kwenye vitu viwili pekee, nimevileza kwa kina kwenye somo la leo.

Tatu; maamuzi muhimu sana ya kufanya ili ufikie utajiri na mafanikio makubwa. Utajiri na mafanikio haviji kama bahati, bali ni matokeo ya maamuzi muhimu ambayo mtu anayafanya. Kwenye somo la leo nimekushirikisha maamuzi muhimu unayopaswa kuyafanya na namna ya kuyafanya.

Rafiki, niseme kwamba kama mpaka sasa hujajiunga na semina hii, unajinyima mengi na hujitakii mema. Kama unaweza kununua nguo kusitiri mwili lakini huwezi kuwekeza kwenye maarifa kusitiri akili yako unajipoteza.

Kwa kuwa nakujali sana wewe rafiki yangu, na kwa kuwa najua maisha hayakosi dharura mbalimbali, nimekupa nafasi ya upendeleo kwa siku hii ya leo kujiunga na semina hii.

Kama bado hujajiunga, lipa ada sasa, tsh 20,000/= (elfu 20) kwa namba 0717396253 au 0755953887 kisha tuma ujumbe wenye majina yako kwa wasap kwenda namba 0717396253 na utaunganishwa kwenye semina.

Ukijiunga leo utatumiwa na somo la nyuma ulilokosa.

Rafiki, sitaki ukose semina hii na ndiyo maana nakupa tena nafasi hii. Wapo wenzetu ambao wamepitiwa na kushindwa kujiunga kwa wakati, kama alivyotuandikia huyu;

“Kocha unatusaidiaje sisi tuliochelewa kuingia mtandaoni na kusoma ujumbe uliokua umeutuma mapema ili nasi tuweze kushiriki semina hii… Hasa ukituzingatia kuwa baadhi ya watu tumejiunga mda sio mrefu, binafsi nimejiunga jana tarehe 1.1.2019 na leo nakosa semina hii muhimu sana. Binafsi naomba unifikirie niingie kwenye semina hii muhimu.
Natumaini ombi langu litaangaziwa kwa uzuri. Asante!”

Nafasi ndiyo hii rafiki yangu, chukua hatua sasa ili usikose nafasi hii ya kipekee sana. Fanya malipo yako sasa ili uweze kuuanza mwaka 2019 kwa mafanikio makubwa sana.

MUHIMU; Kama umekwama na huwezi kulipa ada kamili sasa, na kama unayo ada nusu, tuwasiliane na nione namna gani unaweza kupata nafasi ya kushiriki semina hii.

Pia kama umeshalipia semina na hujawekwa kwenye kundi la semina, tuma ujumbe sasa kwa wasap kwenda namba 0717396253 wenye maelezo kwamba ulilipia semina na majina yako kisha utaunganishwa.

Karibu sana rafiki yangu, usikose kabisa maarifa haya.

Makala Hii Imeandikwa Na Dr. Makirita Amani Ambaye Ni Daktari Wa Binadamu, Kocha Wa Mafanikio, Mwandishi Na Mjasiriamali. Kupata Huduma Za Ukocha Tembelea; www.amkamtanzania.com/kocha

Kupokea makala moja kwa moja kwenye email yako fungua hapa na ujaze fomu; https://amkamtanzania.com/jiunge